Tofauti kati ya marekesbisho "Serikali ya kiraisi"

Jump to navigation Jump to search
388 bytes removed ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
No edit summary
 
<br>'''Angalizi''' nchi mbalimbali zinazojiita "jamhuri" hutazamiwa na wengine kama [[udikteta]]. Ramani ianonyesha hali ya kisheria si hali halisi.
]]
'''Serikali ya kiraisi''' ni muundo wa [[siasa]] ambako [[serikali]] ikoimo mkononimikononi wamwa [[rais]] wa nchi. Rais huyu anaunganisha nafasi za Mkuu wa Dola na pia kiongozi wa serikali. Muundo huu ni tofauti na [[serikali ya kibunge]] ambako rais ni zaidi cheo cha heshima tofauti na kiongozi wa serikali huchaguliwa na bunge lenye madaraka ya kumwondoa tena.
 
Muundo huu ni tofauti na [[serikali ya kibunge]] ambako rais ni zaidi cheo cha heshima tofauti na kiongozi wa serikali ambaye huchaguliwa na [[bunge]] lenye madaraka ya kumwondoa tena.
==Tabia za serikali ya kiraisi==
 
Tabia za utaratibu huu ni mara nyingi:
==Tabia za serikali ya kiraisikirais==
Tabia za utaratibu huu ni mara nyingi ni:
* Rais ni mkuu wa dola pia kiongozi wa serikali.
* Rais hashiriki katika bunge wala yeye si [[mbunge]]. Katika nchi kadhaa ana [[haki]] ya kupinga sheria za bunge, kwa mfano [[Marekani]]. Hapa rais anaweza kusimamisha sheria za bunge kwa tamko la "[[veto]]" (kwa [[Kilatini]]: "Nakataa"; kwa [[Kiswahili]] "Turufu"). Kura ya pili laya [[theluthi]] mbili za wabunge linaweza kushinda tamko hili.
* Rais ana kipindi maalumu kisichoongezeka.
* Rais hawezi kuondolewa kwa tamko la bunge la kutokuwa na imani naye jinsi ilivyo nakwa [[waziri mkuu]] katika serikali ya kibunge. Lakini kwa kawaida kuna utaratibu maalumu wa kumwondoa raisirais kwa sababu za pekee, kwa mfano akionekana amevunja sheria kwa tendo la [[jinai]].
* Kazi ya mawaziri ikoimo mkononimikononi wamwa rais anayewapa cheo, pia anaweza kuwaondoa; taratibu za nchi zatofautianazinatofautiana kama bunge lathebitishalathibitisha mawaziri au la.
 
==Mifano==
*Serikali za kiraisekirais ziko kwa mfano Marekani, [[Meksiko]], [[Ufilipino]] na nchi nyingi za [[Amerika Kusini]], pia za [[Afrika]].
* Kuna pia nchi za [[Udikteta|kidikteta]] zinazotumia muundo wa karibu na serikali ya kiraisikirais lakini kwa kawaida uwezo wa bunge ni mdogo sana.
* Cheo cha rais katika serikali ya kibunge ni tofauti sana na muundo huo wa kiraisikirais.
 
==Faida na hasara==
Kati ya [[faida]] za utaratibu wa kiraisikirais hutajwa mara nyingi serikali imara mwenyeyenye nguvu yakatika utendaji. Kiongozi wa taifa ana nafasi kubwa kufuata siasa anayoiona ni lazima kwa mema ya nchi, hata kama wabunge wameanza kusitasita au kuogopa [[hasira]] ya wananchi. Kazi ya serikali inategemea nia ya [[mtu]] mmoja aliyepewa na wananchi wote nafasi na [[muda]] wake na wananchi wote. Anayeangaliwa ni haki yake na pia [[wajibu]] wake kutumia [[madaraka]] haya.
 
Nguvu hii ni pia [[udhaifu]] wa muundo huo: kama rais ni mtu hafifu au mtu anayekosa uelewano mwema wa matatizo yaliyopo. Pia madaraka makubwa ya rais yameonekana kurahisisha kuundwa kwa udikteta kama huyu rais akitumia madaraka yake kubadilisha mgawanyo wa madaraka kati ya matawi ya dola yaani serikali, bunge na [[mahakama]].
 
==Muundo wa kumbakumba ya Serikali==
Nchi mbalimbali hutumia utaratibu wa kuunganisha tabia za serikali ya kiraisikirais na serikali ya kibunge. Mfano wake ni [[Ufaransa]] ambako rais anayechaguliwa na wanachiwananchi wote hushirikiana na waziri mkuu anayetegemea bunge. Rais ana madaraka kadhaa pamoja na haki ya kuongoza mikutano ya mawaziri akitaka. Ana haki ya kutoa mwongozo juu ya siasa ya nje na pia ni [[mkuu wa jeshi]]. Lakini anahitaji kushiriki katika kempeni za bunge na kuomba wananchi kumpa wabunge watakoshikamana naye. Kama wananchi wanaamua tofauti anapaswa kushirikiana na waziri mkuu asiyekubali naye katika siasa. Hii ni njia mojawapo kuwapa wanachi nafasi ya kuweka mipaka kwa madaraka na uwezo wa rais wakiona asiamue kila kitu tena pekee yake.
 
Lakini anahitaji kushiriki katika kempeni za bunge na kuomba wananchi kumpa wabunge watakaoshikamana naye. Kama wananchi wanaamua tofauti anapaswa kushirikiana na waziri mkuu asiyekubaliana naye katika siasa. Hii ni njia mojawapo ya kuwapa wananchi nafasi ya kuweka mipaka kwa madaraka na uwezo wa rais wakiona asiamue kila kitu tena pekee yake.
[[Category:Siasa]]
 
{{mbegu-siasa}}
 
[[Category:Siasa]]
[[en:Parliamentary system]]
[[da:Parlamentarisme]]
[[de:Parlamentarisches Regierungssystem]]
[[es:Parlamentarismo]]
[[fi:Parlamentarismi]]
[[fr:Régime parlementaire]]
[[gl:Parlamentarismo]]
[[id:Sistem parlementer]]
[[is:Þingræði]]
[[it:Repubblica parlamentare]]
[[ja:議院内閣制]]
[[ko:의원 내각제]]
[[nl:Parlementair systeem]]
[[nn:Parlamentarisme]]
[[no:Parlamentarisme]]
[[pl:System parlamentarno-gabinetowy]]
[[pt:Parlamentarismo]]
[[ro:Sistem parlamentar]]
[[sv:Parlamentarism]]
[[tl:Sistemang parliamentaryo]]
[[zh:議會制]]

Urambazaji