Tofauti kati ya marekesbisho "Serikali ya kiraisi"

Jump to navigation Jump to search
4 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
(link to Ufaransa)
Tabia za utaratibu huu ni mara nyingi:
* Rais ni mkuu wa dola pia kiongozi wa serikali.
* Rais hashiriki katika bunge wala yeye si mbunge. Katika nchi kadhaa ana haki ya kupinga sheria za bunge kwa mfano Marekani. Hapa rais anaweza kusimamisha sheria za bunge kwa tamko la "[[veto]]" ([[Kilatini]]: "Nakataa"). Kura ya pili la theluthi mbili za wabunge linaweza kushinda tamko hili.
* Rais ana kipindi maalumu kisichoongezeka.
* Rais hawezi kuondolewa kwa tamko la bunge la kutokuwa na imani naye jinsi ilivyo na waziri mkuu katika serikali ya kibunge. Lakini kwa kawaida kuna utaratibu maalumu wa kumwondoa raisi kwa sababu za pekee, kwa mfano akionekana amevunja sheria kwa tendo la jinai.

Urambazaji