Kyushu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 8: | Mstari 8: | ||
Miji muhimu ni [[Fukuoka]], Kitakyūshū na [[Nagasaki]]. |
Miji muhimu ni [[Fukuoka]], Kitakyūshū na [[Nagasaki]]. |
||
Hali ya hewa ni la joto wastani. Mazao ya [[mpunga]], [[chai]], [[tumbako]], [[viazi]] na [[soya]] |
Hali ya hewa ni la joto wastani. Mazao ya [[mpunga]], [[chai]], [[tumbako]], [[viazi]] na [[soya]] hustawi vizuri. |
||
[[Category:Japani]] |
[[Category:Japani]] |
Pitio la 20:06, 8 Desemba 2007
Kyūshū ni kisiwa kikubwa cha tatu nchini Japani na kisiwa cha kusini kati ya visiwa vikubwa vinne vya nchi. Neno kyushu lamaanisha "mikoa tisa" iliyohesabiwa zamani kisiwani.
Idadi ya wakzi ilikuwa 14,779,000 mnamo mwaka 2003.
Kuna milima mingi pamoja na volkeno kama vile mlima Aso (1,592 m) ambayo ni volkeno hai.
Miji muhimu ni Fukuoka, Kitakyūshū na Nagasaki.
Hali ya hewa ni la joto wastani. Mazao ya mpunga, chai, tumbako, viazi na soya hustawi vizuri.