Tofauti kati ya marekesbisho "26 Juni"

Jump to navigation Jump to search
136 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
{{Juni}}
== Matukio ==
* [[1945]] - [[Umoja wa Mataifa]] unaanzishwa [[Mji|mjini]] [[San Francisco]] na kuchukua nafasi ya [[Shirikisho la Mataifa]].
* [[1960]] - [[Kisiwa]] cha [[Madagaska]] kinapata [[uhuru]] kutoka [[Ufaransa]].
* [[1960]] - [[Somalia ya Kiingereza]] inapata uhuru kutoka [[Uingereza]].
 
== Waliozaliwa ==
* [[1581]] - [[Mtakatifu]] [[Petro Claver]], [[padri]] [[mmisionari]] wa [[Shirika la Yesu]] kutoka [[Hispania]]
* [[1892]] - [[Pearl S. Buck]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka wa [[1938]])
* [[1937]] - [[Robert Richardson]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1996]]
* [[1941]] - [[Omar Ali Juma]], [[mwanasiasa]] kutoka [[Zanzibar]]
* [[1942]] - [[Gilberto Gil]], [[mwanamuziki]] na [[Waziri]] wa [[Utamaduni]] wanchini [[Brazil]]
* [[1966]] - [[Adam Kighoma Malima]], [[mbunge]] wa [[Tanzania]]
* [[1970]] - [[Sean Hayes]], [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Marekani]]
* [[1987]] - [[Samir Nasri]], [[mchezaji mpira]] kutoka [[Ufaransa]]
 
== Waliofariki ==
* [[1541]] - [[Francisco Pizarro]], aliyevamia [[Peru]] na kuharibu [[Dola]] la [[Inka]], anauawa mjini [[Lima]].
* [[1943]] - [[Karl Landsteiner]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1930]])
* [[1975]] - Mtakatifu [[Josemaría Escrivá]], [[mwanzilishi]] wa [[Opus Dei]] kutoka [[Hispania]]
* [[2007]] - [[Amina Chifupa]], ([[Mbungembunge]] wa kiti maalum mwaka [[2005Tanzania]] )
 
[[Jamii:Juni]]

Urambazaji