Johannes Diderik van der Waals : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''Johannes Diderik van der Waals''' (23 Novemba, 1837 hadi 8 Machi, 1923) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi...'
 
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Johannes Diederik van der Waals hadi Johannes Diderik van der Waals: jina rasmi, la pili halina 'ie'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 16:06, 24 Machi 2016

Johannes Diderik van der Waals (23 Novemba, 1837 hadi 8 Machi, 1923) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uholanzi. Hasa alichunguza hali ya gesi na ya kiowevu. Mwaka wa 1910 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johannes Diderik van der Waals kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.