Tofauti kati ya marekesbisho "22 Mei"

Jump to navigation Jump to search
148 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
{{Mei}}
== Matukio ==
* [[1990]] - MaunganoMuungano yawa [[Yemen]] ya [[Kaskazini]] na Yemen ya [[Kusini]]
 
== Waliozaliwa ==
* [[1813]] - [[Richard Wagner]], [[mtunzi]] wa [[muziki]] kutoka [[Ujerumani]]
* [[1912]] - [[Herbert Brown]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1979]]
* [[1927]] - [[George Olah]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]], mwaka wa [[1994]])
* [[1983]] - [[Cynthia Muvirimi]], [[mwanamitindo]] kutoka [[Zimbabwe]]
 
== Waliofariki ==
* [[337]] - Flavius Valerius Constantinus aliyejulikana kama [[Kaisari]] [[Konstantino Mkuu]] na kumaliza mateso[[dhuluma]] dhidi ya [[Wakristo]] katika [[Dola la Roma]]
* [[1457]] - [[Mtakatifu]] [[Rita wa Cascia]], [[mjane]] kutoka [[Italia]] aliyejiunga na [[utawa]] wa [[Waaugustino]]
* [[1667]] - [[Papa Alexander VII]]
* [[1885]] - [[Victor Hugo]], [[mwandishi maarufu]] kutoka [[Ufaransa]]
* [[1983]] - [[Albert Claude]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1974]]
* [[1997]] - [[Alfred Hershey]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1969]]

Urambazaji