Amerika ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7: Mstari 7:
* Kijiolojia iko kwenye [[bamba la Karibi]] ambalo ni [[bamba la gandunia]] la pekee na mabamba ya Amerika Kaskazini na Amerika Kusini.
* Kijiolojia iko kwenye [[bamba la Karibi]] ambalo ni [[bamba la gandunia]] la pekee na mabamba ya Amerika Kaskazini na Amerika Kusini.


Inajumisha nchi za [[shingo la nchi]] kati ya [[Marekani]] na [[Kolombia]] pamoja na [[visiwa vya Karibi]].
Inajumisha nchi za [[shingo ya nchi]] kati ya [[Marekani]] na [[Kolombia]] pamoja na [[visiwa vya Karibi]].
Kwenye shingo hiyo kuna nchi zifuatazo:
Kwenye shingo hiyo kuna nchi zifuatazo:



Pitio la 10:49, 2 Machi 2016

Mahali pa Amerika ya Kati duniani

Amerika ya Kati ni eneo upande wa kusini ya Marekani au Meksiko (taz. chini) na upande wa kaskazini ya Kolombia.

Inajumisha nchi za shingo ya nchi kati ya Marekani na Kolombia pamoja na visiwa vya Karibi. Kwenye shingo hiyo kuna nchi zifuatazo:

  • Meksiko si sehemu ya shingo la nchi lakini kwa sababu za kihistoria na kiutamaduni mara nyingi huhesabiwa katika Amerika ya Kati

Pia kuna nchi za visiwani katika bahari ya Karibi:

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Amerika ya Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.