Uraibu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Alcoholics Anonymous Regional Service Center by David Shankbone.jpg|thumb|Kituo cha huduma cha chama cha [[walevi]] wanaosaidiana kuacha uraibu wa vileo.]]
'''Uraibu''' (kwa [[Kiingereza]] ''addiction'') ni hali inayopatikana wakati [[roho]] au [[mwili]] unataka mno kuwa na [[hisia]] fulani kiasi cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli hadi kufikia tena hisia inayolengwa.
'''Uraibu''' (kwa [[Kiingereza]] ''addiction'') ni hali inayopatikana wakati [[roho]] au [[mwili]] unataka mno kuwa na [[hisia]] fulani kiasi cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli hadi kufikia tena hisia inayolengwa.



Pitio la 14:51, 27 Februari 2016

Kituo cha huduma cha chama cha walevi wanaosaidiana kuacha uraibu wa vileo.

Uraibu (kwa Kiingereza addiction) ni hali inayopatikana wakati roho au mwili unataka mno kuwa na hisia fulani kiasi cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli hadi kufikia tena hisia inayolengwa.

Hisia za aina hii zinaweza kupatikana kutokana

Uraibu hutazamwa kama ugonjwa au utumwa wa ndani. Katika jamii inaeleweka kwa kawaida kama uraibu wa dawa yaani dutu zinazomfanya mtu kurudia matumizi hata kama inaharibu afya, hali yake katika jamii na hata kuvunja sheria. Hapo ni hasa dawa za kulevya zinazojulikana kuwa zinaunda uraibu.

Lakini matumizi ya kiraibu ya dawa inakuja pamoja na hali ya kiroho inayofanana kabisa na hali ya uraibu wa vitu au matendo mengine.

Tovuti za nje