Tofauti kati ya marekesbisho "Uraibu"

Jump to navigation Jump to search
120 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
'''Uraibu''' (kwa [[ing.Kiingereza]] ''addiction'') inapatikanani hali inayopatikana wakati [[roho]] au [[mwili]] inatakaunataka mno kuwa na [[hisia]] fulani nakiasi cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli hadi kufikia tena hisia inayolengwa.
 
Hisia za aina hii zinaweza kupatikana kutokana
* kusikia matokeo ya kuingiza [[pombe]] au [[dawa]] fulani kwenye mwili
* kusikia matokeo ya kuvuta [[sigara]], [[bangi]] au [[madawa]] mengine
* kujishughulisha mno na [[michezo ya kompyuta]], [[michezo ya fedha]], [[simu ya mobilemkononi]], kutazama [[televisheni]] n.k.
* au matendo mengine ya kurudia menginekurudiarudia ambayo yanaweza kuwa tofauti sana, kama vile kununua vitu au kuiba
 
Uraibu hutazamiwahutazamwa kama hali[[ugonjwa]] yaau ugonjwa[[utumwa]] wa ndani. Katika [[jamii]] inaeleweka kwa kawaida kama uraibu wa [[dawa]] yaani [[dutu]] zinazomfanya mtu kurudia matumizi hata kama inaharibu [[afya]], hali yake katika jamii na hata kuvunja [[sheria]]. Hapo ni hasa [[dawa za kulevya]] zinazojulikana kuwa zinaunda uraibu.
 
Lakini matumizi ya kiraibu ya dawa inakuja pamoja na hali ya kiroho inayofanana kabisa na hali ya uraibu wa vitu au matendopmatendo mengine.
 
== Tovuti za Njenje ==
* [http://en.citizendium.org/wiki/Addiction Addiction] Citizendium
 
{{mbegu}}
 
[[jamii:saikolojia]]
 
[[jamii:magonjwa]]

Urambazaji