Tezi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Kipala alihamisha ukurasa wa Tezi hadi Tezi (meli)
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Tezi''' ni [[ogani]] za [[mwili]] zinazotoa dutu za pekee ambazo ni muhimu kwa kazi ya mwili kwa jumla na hasa kwa ogani nyingine. Zinapatikana katika wanayama pamoja na wanadamu na pia katika mimea.
#REDIRECT [[Tezi (meli)]]

Kimsingi kuna aina mbili za tezi
*tezi exokrini zinazotoa kiowevu chenye kazi ya pekee kwa mfano tezi za [[jasho]], tezi za [[mate]] au tezi za [[nyongo]] ya utumbo. Tezi hizi zinaunganishwa na kichirizi ambacho ni njia ya kupeleka kiowevu pale kinapohitajika kwa mfano mdomoni, kwenye utumbo na kadhalika.
*tezi endokrini zinazotoa [[homoni]] na kuzimwaga katika mzunguko wa damu. Homoni zinazunguka kote mwilini lakini zinaathiri ogani pekee ambazo zina molekuli za kupokea homoni fuani.




[[jamii:mwili]]

Pitio la 06:51, 22 Februari 2016

Tezi ni ogani za mwili zinazotoa dutu za pekee ambazo ni muhimu kwa kazi ya mwili kwa jumla na hasa kwa ogani nyingine. Zinapatikana katika wanayama pamoja na wanadamu na pia katika mimea.

Kimsingi kuna aina mbili za tezi

  • tezi exokrini zinazotoa kiowevu chenye kazi ya pekee kwa mfano tezi za jasho, tezi za mate au tezi za nyongo ya utumbo. Tezi hizi zinaunganishwa na kichirizi ambacho ni njia ya kupeleka kiowevu pale kinapohitajika kwa mfano mdomoni, kwenye utumbo na kadhalika.
  • tezi endokrini zinazotoa homoni na kuzimwaga katika mzunguko wa damu. Homoni zinazunguka kote mwilini lakini zinaathiri ogani pekee ambazo zina molekuli za kupokea homoni fuani.