Tofauti kati ya marekesbisho "Kitabu cha Yoeli"

Jump to navigation Jump to search
283 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q131643 (translate me))
[[File:Joel (Michelangelo).jpg|right|thumb|Nabii Yoeli alivyochorwa na [[Michelangelo]] kwenye [[dari]] ya [[Kikanisa cha Sisto V]] ([[1508]]–[[1512]]).]]
'''Kitabu cha Yoeli''' ni kimojawapo kati ya vitabu 12 vya [[Manabii wadogo]] ambavyo, pamoja na vingine vingi, vinaunda [[Tanakh]].
 
 
== Muda wa uandishi ==
Inawezekana kwamba kitabu hiki kilikuwa cha mwisho kuandikwa kati ya [[vitabu vya kinabii]] chavya [[Biblia ya Kiebrania]] (ambamo [[Kitabu cha Danieli]], kilichoandikwa baadaye, hakimo katika kundi la [[Manabii]]).
 
[[Mwandishi]] wake ni [[nabii Yoeli]], labda katikati ya [[karne ya 4 KK]].
Inawezekana kwamba kitabu hiki kilikuwa cha mwisho kuandikwa kati ya vitabu vya kinabii cha [[Biblia ya Kiebrania]] (ambamo [[Kitabu cha Danieli]], kilichoandikwa baadaye, hakimo katika kundi la [[Manabii]]).
 
== Muhtasari ==
Katika [[sura]] mbili za kwanza, uvamizi wa [[nzige]] unaharibu [[mkoa]] wote wa [[Yudea]] na kuwafanya wenyeji waendeshe [[liturujia]] ya [[toba]] ambayo iliitikiwa na [[Mungu]] kwa [[ahadi]] ya [[Msamaha|kusamehe]] na kurudisha hali njema.
 
Katika sura mbili zinazofuata unatabiriwa kwa [[mtindo wa kiapokaliptiko]] [[hukumu]] ya mataifa mageni na [[ushindi]] wa moja wa moja wa Mungu na [[taifa]] lake, [[Israeli]].
 
== Mwangwi katika [[Agano Jipya]] ==
[[Mtume Petro]] alitaja [[utabiri]] wa Yoeli akieleza [[karama]] zilizojitokeza siku ya [[Pentekoste]] ya [[mwaka]] [[30]] [[BK]] kutokana na ujio wa [[Roho Mtakatifu]] (taz. Yoe 3:1-5 na [[Mdo]] 2:16-21).
 
[[Mtume Paulo]] alitumia utabiri huohuo kuhusu [[Wayahudi]] na watu wa mataifa mengine pia (taz. Yoe 3:5 na [[Rom]] 10:13).
 
==Marejeo==
 
[[Jamii:Vitabu vya Agano la Kale]]
[[Jamii:Watu wa Biblia]]

Urambazaji