Kibouyei : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kibouyei''' (nchini Vietnam pia '''Kigiay''') ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina na Vietnam inayozungumzwa na [[Wabouyei]...'
 
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Kigiay hadi Kibouyei: jina nchini Uchina ambapo kuna wasemaji wengi zaidi kabisa
(Hakuna tofauti)

Pitio la 01:30, 17 Februari 2016

Kibouyei (nchini Vietnam pia Kigiay) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina na Vietnam inayozungumzwa na Wabouyei. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibouyei nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu milioni 2.6. Pia kuna wasemaji 49,100 nchini Vietnam (1999). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibouyei iko katika kundi la Kitai ya Kaskazini.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibouyei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.