Afya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
[[File:Borch Lady washing hands.jpg|thumb|200px|[[Mwanamke]] akinawa [[mikono]] [[1655]] hivi.]]
[[File:Borch Lady washing hands.jpg|thumb|200px|[[Mwanamke]] akinawa [[mikono]] [[1655]] hivi.]]
[[File:Smallpox eradication team.jpg|right|thumb|200px|[[Donald Henderson]] na wenzake katika kukinga watu dhidi ya [[ndui]] mwaka [[1966]].]]
[[File:Smallpox eradication team.jpg|right|thumb|200px|[[Donald Henderson]] na wenzake katika kukinga watu dhidi ya [[ndui]] mwaka [[1966]].]]
'''Afya''' ni hali ya kujisikia vizuri ki[[mwili]], ki[[akili]], ki[[roho]] na ki[[utu]] pia bila kusumbuliwa na [[ugonjwa]] wowote.
'''Afya''' ni hali ya kujisikia vizuri ki[[mwili]], ki[[akili]], ki[[roho]] na ki[[utu]] pia, bila kusumbuliwa na [[ugonjwa]] wowote.


Afya ya [[binadamu]] itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya.
Afya ya [[binadamu]] itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani [[chakula]] chenye virutubisho vyote, vikiwemo [[protini]], [[wanga]] na [[fati]] [hiyo iwe katika asilimia ndogo sana].


Pia tunatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya [[Mwenyezi Mungu]] kama vile: kupendana, kuthaminiana na kuacha [[dhambi]]. Tena mara nyingi hizo zinadhuru afya ya mwili pia.
Pia tunatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya [[Mwenyezi Mungu]] kama vile: kupendana, kuthaminiana na kuacha [[dhambi]]: mara nyingi hizo zinadhuru afya ya mwili pia.


== Fafanuzi za afya ==
== Fafanuzi za afya ==

Pitio la 14:28, 13 Februari 2016

Stempu ya posta ya New Zealand, mnamo mwaka 1933.
Mwanamke akinawa mikono 1655 hivi.
Donald Henderson na wenzake katika kukinga watu dhidi ya ndui mwaka 1966.

Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu pia, bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote.

Afya ya binadamu itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani chakula chenye virutubisho vyote, vikiwemo protini, wanga na fati [hiyo iwe katika asilimia ndogo sana].

Pia tunatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya Mwenyezi Mungu kama vile: kupendana, kuthaminiana na kuacha dhambi: mara nyingi hizo zinadhuru afya ya mwili pia.

Fafanuzi za afya

Sawa na suala la ugonjwa, hakuna elezo kamili kuhusu hali ya afya.

  • Kwa watu wengi ni hali ya kutosumbuliwa na maumivu na udhaifu, pamoja na uwezo wa kutumia sehemu zote za mwili. Ni wazi ya kwamba hisia hii ni tofauti kati ya mtu na mtu.

Majukumu

Serikali zinatarajiwa kuandaa wataalamu wa mambo ya afya na kujenga hospitali nyingi hata vijijini kwa sababu watu wengi hupoteza maisha kwa kukosa huduma za afya: hii itasaidia kupunguza vifo.

Watu wanatakiwa kufanya mazoezi kwa wingi na kula mlo bora wakati wote ili kuepukana na magonjwa yanayotokana na ukosefu wa chakula fulani (virutubishi).

Tanbihi

  1. http://www.who.int/bulletin/archives/80(12)981.pdf ''WHO definition of Health''

Viungo vya nje

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Afya kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.