Simu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Alt Telefon.jpg|right|thumbnail|Simu ya zamani.]]
[[Picha:Alt Telefon.jpg|right|thumbnail|Simu ya zamani.]]
[[Picha:Nokia1100 new.jpg|thumbnail|[[Simu ya mkononi]].]]
[[Picha:Nokia1100 new.jpg|thumbnail|[[Simu ya mkononi]].]]
'''Simu''' ''(kutoka [[Kiarabu]] <big>سیم</big>, sim, inayomaanisha "waya")'' ni chombo cha [[umeme]]. Matumizi ya simu, ni kwa ajili ya watu wawili walio katika sehemu mbili tofauti na wanaweza kuongea. Kimaana ni chombo cha [[mawasilianoanga]].
'''Simu''' ''(kutoka [[Kiarabu]] <big>سیم</big>, sim, inayomaanisha "waya")'' ni chombo cha [[umeme]]. Kimaana ni chombo cha [[mawasilianoanga]].

Matumizi ya simu, ni kwa ajili ya watu wawili walio katika sehemu mbili tofauti na wanaweza kuongea.
Awali simu ilihitajika iunganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumwa kwa kutumia [[redio]]. Hii nayo inaitwa [[nyayatupu]], [[siwaya]] au [[simu bila waya]].

Awali simu ilihitaji iunganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumia [[redio]]. Hii nayo inaitwa [[nyayatupu]], [[siwaya]] au [[simu bila waya]].

Watu wengi wanaamini kuwa simu iligunduliwa mnamo [[1876]] na [[Alexander Graham Bell]],<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/11375/ |title = Alexander Graham Bell Laboratory Notebook, 1875-1876 |website = [[World Digital Library]] |date = 1875-1876 |accessdate = 2013-07-23 }}</ref> [[Uskoti|Mskoti]] mwenye [[umri]] wa miaka 29 aliyeishi nchini [[Marekani]]. Lakini [[Mwitalia]] [[Antonio Meucci]] alianzisha na kuanza kutoa matumizi ya simu toka kunako mwaka wa [[1871]] hukohuko Marekani.

Tangu mwisho [[wa karne ya 20]] kuna aina mpya ya simu iliyoenea ambayo ni [[simu ya mkononi]]. Ingawa haistahili kweli kuitwa tena "simu" kwa maana asilia kwa sababu hakuna simu ni aina ya [[mtambo]] wa [[mawasiliano]] uliosambaa haraka sana.
Tangu mwisho wa [[karne ya 20]] kuna aina mpya ya simu iliyoenea ambayo ni [[simu ya mkononi]]. Ingawa haistahili kweli kuitwa tena "simu" kwa maana asilia kwa sababu hakuna simu ni aina ya [[mtambo]] wa [[mawasiliano]] uliosambaa haraka sana.

Katika nchi nyingi za [[Afrika]] simu hizi zina faida ya pekee, kwamba zinaruhusu mawasiliano hata pale ambako nyaya za [[Posta]] hazifikii.
Katika nchi nyingi za [[Afrika]] simu hizi zina faida ya pekee, kwamba zinaruhusu mawasiliano hata pale ambako nyaya za [[Posta]] hazifikii.

Pitio la 12:36, 13 Februari 2016

Simu ya zamani.
Simu ya mkononi.

Simu (kutoka Kiarabu سیم, sim, inayomaanisha "waya") ni chombo cha umeme. Kimaana ni chombo cha mawasilianoanga.

Matumizi ya simu, ni kwa ajili ya watu wawili walio katika sehemu mbili tofauti na wanaweza kuongea.

Awali simu ilihitaji iunganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumia redio. Hii nayo inaitwa nyayatupu, siwaya au simu bila waya.

Watu wengi wanaamini kuwa simu iligunduliwa mnamo 1876 na Alexander Graham Bell,[1] Mskoti mwenye umri wa miaka 29 aliyeishi nchini Marekani. Lakini Mwitalia Antonio Meucci alianzisha na kuanza kutoa matumizi ya simu toka kunako mwaka wa 1871 hukohuko Marekani.

Tangu mwisho wa karne ya 20 kuna aina mpya ya simu iliyoenea ambayo ni simu ya mkononi. Ingawa haistahili kweli kuitwa tena "simu" kwa maana asilia kwa sababu hakuna simu ni aina ya mtambo wa mawasiliano uliosambaa haraka sana.

Katika nchi nyingi za Afrika simu hizi zina faida ya pekee, kwamba zinaruhusu mawasiliano hata pale ambako nyaya za Posta hazifikii.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Simu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo

  1. "Alexander Graham Bell Laboratory Notebook, 1875-1876". World Digital Library. 1875-1876. Iliwekwa mnamo 2013-07-23.  Check date values in: |date= (help)

Viungo vya nje