Mashahidi wa Yehova : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Tovuti nyingine: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|eo}} (2) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 6: Mstari 6:
[[Mwanzilishi]] alikuwa [[Charles Taze Russell]] pamoja na kikundi cha wanafunzi wa [[Biblia]] ([[miaka ya 1870]]). Jina la sasa lilianza kutumika mwaka [[1931]].
[[Mwanzilishi]] alikuwa [[Charles Taze Russell]] pamoja na kikundi cha wanafunzi wa [[Biblia]] ([[miaka ya 1870]]). Jina la sasa lilianza kutumika mwaka [[1931]].


Kwa sasa wako milioni 8.2 katika jumuia 115,416 (kadiri ya ''2015 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova''<ref>[http://www.jw.org/sw/machapisho/vitabu/2015-kitabu-cha-mwaka/ ''2015 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova]</ref>). Ongezeko ni la asilimia 2.5 kwa mwaka.
Kwa sasa wako milioni 8.2 katika jumuia 118,016 (kadiri ya ''2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova''<ref>[http://www.jw.org/sw/machapisho/vitabu/2016-kitabu-cha-mwaka/ ''2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova]</ref>). Ongezeko ni la asilimia 2.5 kwa mwaka.


== Hoja dhidi yao ==
== Hoja dhidi yao ==

Pitio la 23:00, 19 Januari 2016

Makao makuu ya kimataifa huko Brooklyn, New York, Marekani.

Mashahidi wa Yehova (kwa Kiingereza Jehovah's Witnesses) ni wafuasi wa dini jamii ya Ukristo ambayo ilianzia Marekani na kuenea ulimwenguni kote.

Tofauti na Wakristo karibu wote, hao hawamuamini Yesu kuwa Mungu sawa na Baba, wala Roho Mtakatifu kuwa nafsi, na kwa jumla hawakubali imani katika Utatu wa nafsi katika Mungu pekee. Kwa sababu hiyo madhehebu mengi hayawatambui kama Wakristo wala hayakubali ubatizo wao.

Mwanzilishi alikuwa Charles Taze Russell pamoja na kikundi cha wanafunzi wa Biblia (miaka ya 1870). Jina la sasa lilianza kutumika mwaka 1931.

Kwa sasa wako milioni 8.2 katika jumuia 118,016 (kadiri ya 2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova[1]). Ongezeko ni la asilimia 2.5 kwa mwaka.

Hoja dhidi yao

Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, katazo la utoaji damu, mara kadhaa za utabiri wao kutotimia hasa kuhusu mambo ya mwisho, pamoja na jinsi waumini wanavyofuatiliwa na kushinikizwa.

Kwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini Tanzania wakati wa urais wa Julius Nyerere au bado ni marufuku.

Wenyewe wamekataa daima lawama hizo, lakini kila mwaka wengi wanajitenga nao.

Marejeo

  1. 2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Tovuti rasmi


Tovuti nyingine

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.