Tofauti kati ya marekesbisho "Burundi"

Jump to navigation Jump to search
260 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
[[Chama tawala]] kinajaribu kufuata siasa ya mapatano ya ndani, lakini ina [[uvumilivu]] mdogo tu kwa upinzani na mawazo yanayopinga siasa yake.
 
Mwezi wa Aprili [[2009]] chama cha Palipehutu FNL hatimaye kilisimamisha upinzani kwa silaha kikakubaliwa kama chama cha kisiasa cha FNL.
 
Nkurunziza alichaguliwa tena kwa kura ya wananchi wote mwaka 2010. Chama cha upinzani FNL kilikataa kukubali ushindi wa CNDD-FDD.
Mwaka 2015 rais Nkurunziza alipendekezwa kugombea tena urais katika uchaguzi akakubali. Hatua hiyo ilisababisha upinzani mkali wa wananchi walioandamana wakiona hii inavunja mapatano ya amani ya Arusha.
Tarehe [[13 Mei]] [[jenerali]] [[Godefroid Niyombare]] alitangaza kufukuzwa kwa Nkurunziza kutoka urais wakati huyo alikuwa safarini Tanzania, lakini hakufaulu. Uasiuasi huu wa kijeshi ulikandamizwa. Nkurunziza alirudi na kutangaza ya kwamba kura inatakiwa kufanyika jinsi ilivyopangwa tarehe 26 Mei 2015 kwa bunge na 26 Juni kwa uraisi.
 
Nkurunziza alirudi na kutangaza ya kwamba kura inatakiwa kufanyika jinsi ilivyopangwa tarehe [[26 Mei]] 2015 kwa bunge na tarehe [[26 Juni]] kwa urais.
 
Taasisi ya kimataifa na nchi jirani walitamka wasiwasi kuhusu mwelekeo wa hali ya kisiasa katika Burundi. [[Nkosazana Dlamini-Zuma]], mwenyekiti wa kamati tendaji ya [[Umoja wa Afrika]], aliomba kuahirishwa kwa kura nchini Burundi hadi hali iwe imetulia.
 
Tarehe [[24 Julai]] 2015 Tume ya Uchaguzi ilimtangaza Nkurunziza mshindi wa uchaguzi kwa 69.41% za kura. [[Agathon Rwasa]] alishika nafasi ya pili kwa 18.99% ingawa alikuwa amehimiza wananchi wasipige kura.
 
Kilichofuata kimesababisha wananchi 200,000 wakimbie, huko rais akikataza [[Umoja wa Afrika]] usitume [[askari]] kulinda [[amani]] na [[haki]] nchini, wakati [[wanajeshi]] wanaendelea kuua na kunyanyasa Watutsi wakielekea [[mauaji ya kimbari]].
 
== Utawala ==

Urambazaji