Babeli : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Ish-tar Gate detail.jpg|thumb|200px|right|Sehemu ya geti la [[Ishtar]] huko Babeli]]
[[Picha:Ish-tar Gate detail.jpg|thumb|200px|right|Sehemu ya [[geti]] la [[Ishtar]] huko Babeli.]]
'''Babeli''' ulikuwa [[mji]] wa kale katika [[Mesopotamia]] muhimu kwa [[karne]] nyingi kama [[mji mkuu]] wa milki zilizotawala maeneo makubwa ya [[Mashariki ya Kati]].
'''Babeli''' ulikuwa [[mji]] wa kale katika [[Mesopotamia]], muhimu kwa [[karne]] nyingi kama [[mji mkuu]] wa [[milki]] zilizotawala maeneo makubwa ya [[Mashariki ya Kati]].


Inatajwa mara nyingi katika [[Biblia]], hata kwa jina la [[Babuloni]].
Inatajwa mara nyingi katika [[Biblia]], hasa kwa jina la [[Babuloni]].


[[Maghofu]] yake hupatikana karibu na mji wa kisasa wa [[Al Hillah]] ([[Irak]]) kando ya [[mto]] [[Frati]] 90 km kusini mwa [[Baghdad]].
[[Maghofu]] yake hupatikana karibu na mji wa kisasa wa [[Al Hillah]] ([[Irak]]) kando ya [[mto]] [[Frati]] [[km]] 90 [[kusini]] kwa [[Baghdad]].


==Historia==
==Historia==
Orodha ya wafalme wake ilianza mnamo mwaka [[2300 KK]] hivi. [[Mfalme]] mashuhuri wa kwanza alikuwa [[Hammurabi]].
[[Orodha]] ya [[wafalme]] wake ilianza mnamo mwaka [[2300 KK]]. [[Mfalme]] mashuhuri wa kwanza alikuwa [[Hammurabi]].


Babeli ulikuwa mji mkuu wa madola mawili makubwa kabla na baada ya kipindi cha enzi ya [[Ashuru]]. Kati ya [[1770 KK]] hadi [[1670 KK]] na mara ya pili kati ya [[612 KK]] na [[320 KK]] inaaminika ulikuwa mji mkubwa zaidi duniani.
Babeli ulikuwa mji mkuu wa madola mawili makubwa kabla na baada ya kipindi cha enzi ya [[Ashuru]].


Wakati wa Dola la Pili la Babeli mfalme [[Nebukadreza II]] alitawala nchi zote kati ya [[Palestina]] ([[Kanaani]] au [[Israeli]]) hadi [[Ghuba ya Uajemi]].
Kati ya miaka [[1770 KK]] na [[1670 KK]] na mara ya pili kati ya miaka [[612 KK]] na [[320 KK]] inaaminika ulikuwa mji mkubwa zaidi [[duniani]].

Wakati wa [[Dola la Pili la Babeli]] mfalme [[Nebukadreza II]] alitawala nchi zote kati ya [[Palestina]] ([[Kanaani]] au [[Israeli]]) hadi [[Ghuba ya Uajemi]].


[[Mabustani ya Semiramis|Bustani ya malkia Semiramis]] ilikuwa moja ya [[maajabu saba ya dunia]].
[[Mabustani ya Semiramis|Bustani ya malkia Semiramis]] ilikuwa moja ya [[maajabu saba ya dunia]].


[[Piramidi]] au [[zigurat]] kubwa za mji zilikuwa maarufu na mfano wao ni [[mnara wa Babeli]] unaotajwa katika [[kitabu cha Mwanzo]] ([[Agano la Kale]]).
[[Piramidi]] au [[zigurat]] kubwa za mji zilikuwa maarufu na mfano wao ni [[mnara wa Babeli]] unaotajwa katika [[kitabu cha Mwanzo]] (katika [[Tanakh]], yaani [[Biblia ya Kiebrania]], na katika [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]]).


Wakati ule jeshi la Babeli liliteka mji wa [[Yerusalemu]] mwaka [[587 KK]], kubomoa [[Hekalu la Yerusalemu|hekalu la Suleimani]] na kuwapeleka [[Wayahudi]] hadi Mesopotamia kwa [[uhamisho wa Babeli]].
Wakati ule [[jeshi]] la Babeli liliteka mji wa [[Yerusalemu]] mwaka [[587 KK]], lilibomoa [[Hekalu la Yerusalemu|hekalu la Suleimani]] na kuwapeleka [[Wayahudi]] hadi Mesopotamia kwa [[uhamisho wa Babeli]].


Inaaminika ya kwamba sehemu kubwa za [[Biblia ya Kiebrania]] ziliandikwa uhamishoni kule Babeli.
Inaaminika ya kwamba sehemu kubwa za Biblia ya Kiebrania ziliandikwa uhamishoni kule Babeli.


Mwaka [[539 KK]] [[Waajemi]] walivamia [[Dola la Babeli]] na kuliteka. Babeli uliendelea kuwa mji muhimu katika Dola la Uajemi.
Mwaka [[539 KK]] [[Waajemi]] walivamia [[Dola la Babeli]] na kuliteka. Babeli uliendelea kuwa mji muhimu katika [[Dola la Uajemi]].


Baada ya [[ushindi]] wa [[Aleksanda Mkuu]] juu ya mfalme Mwajemi [[Darius III]], Babeli ulikuwa chini ya utawala wa [[Wagiriki]]. Aleksanda alikufa Babeli mwaka [[323 KK]] katika jumba la kifalme la Nebukadreza.
Baada ya [[ushindi]] wa [[Aleksanda Mkuu]] juu ya mfalme Mwajemi [[Darius III]], Babeli ulikuwa chini ya utawala wa [[Wagiriki]]. Aleksanda alikufa Babeli mwaka [[323 KK]] katika [[jumba la kifalme]] la Nebukadreza.


Mwaka [[275 KK]] Wagiriki walijenga [[mji mkuu]] mpya wakawalazimisha wakazi wa Babeli kuhamia huko [[Seleukia]]. Huo ulikuwa mwisho wa mji ule mkubwa.
Mwaka [[275 KK]] Wagiriki walijenga [[mji mkuu]] mpya wakawalazimisha wakazi wa Babeli kuhamia huko [[Seleukia]]. Huo ulikuwa mwisho wa mji ule mkubwa.


Mataifa ya Kale walikumbuka mji wa Babeli kwa muda mrefu. [[1Pet|Barua ya kwanza ya Petro]] na kitabu cha [[Ufunuo wa Yohane]] katika [[Agano Jipya]] (kilichoandikwa mnamo mwaka [[90]] [[BK]]) vinatumia jina la Babeli kama jina la kitendawili kuashiria [[Roma]].
Mataifa ya kale walikumbuka mji wa Babeli kwa muda mrefu.
[[1Pet|Barua ya kwanza ya Petro]] na [[kitabu]] cha [[Ufunuo wa Yohane]] katika [[Agano Jipya]] (kilichoandikwa mnamo mwaka [[90]] [[BK]]) vinatumia jina la Babeli kama [[jina la fumbo]] kuashiria [[Roma]].


[[Jamii:Historia ya Iraq]]
[[Jamii:Historia ya Iraq]]

Pitio la 11:21, 30 Desemba 2015

Sehemu ya geti la Ishtar huko Babeli.

Babeli ulikuwa mji wa kale katika Mesopotamia, muhimu kwa karne nyingi kama mji mkuu wa milki zilizotawala maeneo makubwa ya Mashariki ya Kati.

Inatajwa mara nyingi katika Biblia, hasa kwa jina la Babuloni.

Maghofu yake hupatikana karibu na mji wa kisasa wa Al Hillah (Irak) kando ya mto Frati km 90 kusini kwa Baghdad.

Historia

Orodha ya wafalme wake ilianza mnamo mwaka 2300 KK. Mfalme mashuhuri wa kwanza alikuwa Hammurabi.

Babeli ulikuwa mji mkuu wa madola mawili makubwa kabla na baada ya kipindi cha enzi ya Ashuru.

Kati ya miaka 1770 KK na 1670 KK na mara ya pili kati ya miaka 612 KK na 320 KK inaaminika ulikuwa mji mkubwa zaidi duniani.

Wakati wa Dola la Pili la Babeli mfalme Nebukadreza II alitawala nchi zote kati ya Palestina (Kanaani au Israeli) hadi Ghuba ya Uajemi.

Bustani ya malkia Semiramis ilikuwa moja ya maajabu saba ya dunia.

Piramidi au zigurat kubwa za mji zilikuwa maarufu na mfano wao ni mnara wa Babeli unaotajwa katika kitabu cha Mwanzo (katika Tanakh, yaani Biblia ya Kiebrania, na katika Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo).

Wakati ule jeshi la Babeli liliteka mji wa Yerusalemu mwaka 587 KK, lilibomoa hekalu la Suleimani na kuwapeleka Wayahudi hadi Mesopotamia kwa uhamisho wa Babeli.

Inaaminika ya kwamba sehemu kubwa za Biblia ya Kiebrania ziliandikwa uhamishoni kule Babeli.

Mwaka 539 KK Waajemi walivamia Dola la Babeli na kuliteka. Babeli uliendelea kuwa mji muhimu katika Dola la Uajemi.

Baada ya ushindi wa Aleksanda Mkuu juu ya mfalme Mwajemi Darius III, Babeli ulikuwa chini ya utawala wa Wagiriki. Aleksanda alikufa Babeli mwaka 323 KK katika jumba la kifalme la Nebukadreza.

Mwaka 275 KK Wagiriki walijenga mji mkuu mpya wakawalazimisha wakazi wa Babeli kuhamia huko Seleukia. Huo ulikuwa mwisho wa mji ule mkubwa.

Mataifa ya kale walikumbuka mji wa Babeli kwa muda mrefu.

Barua ya kwanza ya Petro na kitabu cha Ufunuo wa Yohane katika Agano Jipya (kilichoandikwa mnamo mwaka 90 BK) vinatumia jina la Babeli kama jina la fumbo kuashiria Roma.