Paskali Baylon : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 11 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q534691 (translate me)
No edit summary
Mstari 12: Mstari 12:
{{mbegu-Mkristo}}
{{mbegu-Mkristo}}


{{DEFAULTSORT:Baylon, Paskali}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1540]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1540]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1592]]
[[Jamii:Waliofariki 1592]]
[[Category:Wafransisko]]
[[Category:Wafransisko]]
[[Category:Watakatifu wa Hispania]]
[[Category:Watakatifu wa Hispania]]

Pitio la 11:56, 17 Desemba 2015

Picha ya Paskali Baylón, inayotunzwa katika parokia ya Torrehermosa.

Paskali Baylon Yubero (Torrehermosa, Zaragoza, 16 Mei 1540 - Villarreal, Castellón, 17 Mei 1592) alikuwa bruda wa utawa wa Ndugu Wadogo

Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri tarehe 19 Oktoba 1618, halafu na Papa Alexander VIII kuwa mtakatifu tarehe 16 Oktoba 1690.

Ni msimamizi wa ibada za ekaristi.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.