Krispino wa Viterbo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|Mt. Krispino. '''Krispino wa Viterbo''' (13 Novemba 166819 Mei 1750) alikuwa bradha wa shirika la [...'
 
d mabano
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Fioretti2.jpg|thumb|250px|Mt. Krispino.]]
[[Image:Fioretti2.jpg|thumb|250px|Mt. Krispino.]]
'''Krispino wa Viterbo''' ([[13 Novemba]] [[1668]] – [[19 Mei]] [[1750]]) alikuwa [[bradha]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo [[Wakapuchini]].
'''Krispino wa Viterbo''' ([[13 Novemba]] [[1668]] – [[19 Mei]] [[1750]]) alikuwa [[bradha]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] [[Wakapuchini]].


Mtu asiye na [[elimu]], alijiwekea lengo la kulingana na bradha mtakatifu [[Felix wa Cantalice]].
Mtu asiye na [[elimu]], alijiwekea lengo la kulingana na bradha mtakatifu [[Felix wa Cantalice]].

Pitio la 09:53, 15 Desemba 2015

Mt. Krispino.

Krispino wa Viterbo (13 Novemba 166819 Mei 1750) alikuwa bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini.

Mtu asiye na elimu, alijiwekea lengo la kulingana na bradha mtakatifu Felix wa Cantalice.

Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius VII tarehe 7 Septemba 1806, akawa mtakatifu wa kwanza kutangazwa na Papa Yohane Paulo II (20 Juni 1982).

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.