Tofauti kati ya marekesbisho "1962"

Jump to navigation Jump to search
50 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
 
== Matukio ==
*[[20 Februari]] - [[John Glenn]] anazunguka [[dunia]] katika [[chombo cha angani]] akiwa [[Mmarekani]] wa kwanza kufanya hivyo.
* [[19 Juni]] - [[Paula Abdul]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Marekani]]
*[[1 Julai]] - Nchi za [[Burundi]] na [[Rwanda]] zinapata [[uhuru]] kutoka [[Ubelgiji]].
*[[5 Julai]] - Nchi ya [[Algeria]] inapata [[uhuru]] kutoka [[Ufaransa]].
* [[6 Agosti]] - Nchi ya [[Jamaika]] inapata uhuru kutoka [[Uingereza]].
*[[9 Oktoba]] - Nchi ya [[Uganda]] inapata uhuru kutoka [[Uingereza]].
{{Kalenda za Dunia}}
 
*[[1 Januari]] - [[Richard Roxburgh]], [[mwigizaji]] [[filamu]] kutoka [[Australia]]
*[[4 Januari]] - [[Binilith Satano Mahenge]], [[mwanasiasa]] wa [[Tanzania]]
*[[17 Januari]] - [[Jim Carrey]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Marekani]]
*[[20 Aprili]] - [[Cosmas Masolwa Masolwa]], [[mbunge]] wa [[Tanzania]]
*[[12 Juni]] - [[Paul Schulze]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Marekani]]
*[[16 Juni]] - [[Femi Kuti]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Nigeria]]
*[[4 Oktoba]] - [[Ruth Blasio Msafiri]], mwanasiasa wa [[Tanzania]]
*[[19 Novemba]] - [[Jodie Foster]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Marekani]]
== Waliofariki ==
*[[15 Machi]] - [[Arthur Holly Compton]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1927]]
*[[22 Juni]] - [[Shaaban Robert]], ([[mshairi]] maarufu wa [[Tanzania]])
*[[6 Julai]] - [[William Faulkner]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa 1949)
*[[5 Agosti]] - [[Marilyn Monroe]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Marekani]]
*[[9 Agosti]] - [[Hermann Hesse]], (mwandishi wa [[Ujerumani|Mjerumani]] na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka wa 1946)
*[[3 Septemba]] - [[Edward Cummings]], [[mwandishi]] kutoka [[Marekani]]
*[[18 Novemba]] - [[Niels Bohr]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]], mwaka wa [[1922]])
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat}}
 

Urambazaji