Abdullah bin Faisal Al Saud : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q4165546 (translate me)
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Abdullah al Faisal hadi Abdullah bin Faisal Al Saud: jina rasmi
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:09, 12 Desemba 2015


Abdullah al-Faisal Al Saud
House of Saud
Abdullah al-Faisal ibn Abd al-Aziz ibn Abd al-Rahman Al Saud
Offspring



  • Khalid
  • Muhammad
  • Abdul Rahman
  • Talal
  • Saud
  • Sultan *Bandar
  • Turki
  • Sultana
  • Faisal



Abdullah al-Faisal ibn [[Abd al-Aziz (1922 - 8 Mei 2007) () alikuwa mtoto wa kwanza wa marehemu Mfalme wa Saudi, Faisal ibn Abdul Aziz, na Sultana, binti ya Ahmad ibn Muhammad kutoka katika familia yenye ushawishi mkubwa ya al-Sudairi familia ya |Abd al-Aziz (1922 - 8 Mei 2007) () alikuwa mtoto wa kwanza wa marehemu Mfalme wa Saudi, Faisal ibn Abdul Aziz, na Sultana, binti ya Ahmad ibn Muhammad kutoka katika familia yenye ushawishi mkubwa ya al-Sudairi familia ya ]] Najd.

Kazi

Alianza huduma yake ya kiserikali kama Viceroy wa Hejaz mara nyingi akiwa Waziri Msaidizi wa Maswala ya Nje ya Ufalme wakati akiwa na baba yake, Mfalme Faisal, katika safari yake ya kimataifa. Aliwahi kuhudumu pia kama Waziri wa Afya kutoka 1949-1950 na kama Waziri wa Mambo ya Ndani 1951-1959.


Prince Abdullah baadaye alistaafu kutoka siasa ili kuzingatia maslahi ya biashara yake, inayojulikana kwa sana ikiwa ni Al Faisaliah Group ambayo ni miongoni mwa himaya za biashara za Saudi Arabia za mseto . Alikuwa Mwenyekiti wa sfirika la msaada maarufu la King Faisal Foundation, na pia alikuwa mshairi.

Kazi zake.

Machapisho yake yamehakikiwa sana  ; hayo ni pamoja na:

  • Mahrum: Min Wahye al Hirman