Seli : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Epithelial-cells.jpg|thumb|right|Seli za [[ngozi]] ya mtu chini ya [[hadubini]].]]
'''Seli''' (''kutoka [[Kilatini]] cellula = chumba kidogo'') ni [[chumba]] kidogo ndani ya [[mwili]] wa [[binadamu]], [[wanyama]]. [[mimea]] n.k.


Mwili wote wa kila [[kiumbehai]] hufanywa na seli. Viumbehai vidogo sana kama [[bakteria]] huwa na seli moja tu. Mwili wa mwanadamu huwa na seli [[trilioni]] 100 au 10<sup>14</sup>.
Mwili wote wa kila [[kiumbehai]] hufanywa na seli. Viumbehai vidogo sana kama [[bakteria]] huwa na seli moja tu. Mwili wa mwanadamu huwa na seli [[trilioni]] 100 au 10<sup>14</sup>.
Mstari 14: Mstari 13:
* [[kiini cha seli]],
* [[kiini cha seli]],
* [[utando wa seli]] ([[ganda]] la nje) na
* [[utando wa seli]] ([[ganda]] la nje) na
* [[Utegili (seli)|utegili]] unaojaza chumba ndani ya utando. Ndani ya utegili kuna sehemu nyingine zenye kazi mbalimbali kama vile [[ribosomu]] au [[dutuvuo]] ([[mitokondria]]).
* [[Utegili (seli)|utegili]] unaojaza chumba ndani ya utando. Ndani ya utegili kuna sehemu nyingine zenye kazi mbalimbali kama vile [[ribos

== Aina za seli ==
Kuna aina kuu mbili za seli, nazo niː
* '''Seli ya mnyama''' ni aina ya seli ambazo zinapatikana kwenye miili ya [[wanyama]] wote kama vile binadamu n.k.
* '''Seli ya mmea''' ni aina ya seli zinazopatikana kwenye [[mimea]] yote kama vile [[miti]] n.k.

Licha ya kuwa katika sehemu tofauti za [[viumbe hai]], seli hizi zinafanana baadhi ya vitu na kutofautiana pia.

Baadhi ya vitu ambavyo vipo kwenye seli ya mnyama na seli ya mmea ni pamoja na:
*Zote zina kiini cha seli
*Zote zina utando wa seli
*Zote zina utegili

Tofauti kati ya seli ya [[mnyama]] na seli ya [[mmea]] ni pamoja na:


<!-- interwiki -->

{{mbegu-biolojia}}

[[Jamii:Biolojia]]

Pitio la 14:27, 5 Desemba 2015


Mwili wote wa kila kiumbehai hufanywa na seli. Viumbehai vidogo sana kama bakteria huwa na seli moja tu. Mwili wa mwanadamu huwa na seli trilioni 100 au 1014.

Kila yai ni seli moja tu, hivyo seli kubwa duniani ni yai la mbuni.

Seli za kawaida ni ndogo sana kiasi kwamba huweza kutazamwa kwa kutumia hadubini.

Muundo wa seli

Seli zinatofautiana kisasi kati ya doeni za viumbehai. Bakteria na archaea huwa na seli za mfuto lakini seli za eukaryota zina vitu ndani zao.

Kimsingi seli za eukaryota huwa naː