23 Septemba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 10: Mstari 10:
* [[1901]] - [[Jaroslav Seifert]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1984]])
* [[1901]] - [[Jaroslav Seifert]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1984]])
* [[1915]] - [[Clifford Shull]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1994]]
* [[1915]] - [[Clifford Shull]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1994]]
* [[1926]] - [[John Coltrane]], mwanamuziki kutoka [[Marekani]]
* [[1949]] - [[Bruce Springsteen]], mwanamuziki kutoka [[Marekani]]
* [[1949]] - [[Bruce Springsteen]], mwanamuziki kutoka [[Marekani]]
* [[1972]] - [[Jermaine Dupri]], mwanamuziki kutoka [[Marekani]]
* [[1972]] - [[Jermaine Dupri]], mwanamuziki kutoka [[Marekani]]

Pitio la 19:56, 4 Desemba 2015

Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

23 Septemba kwa kawaida ama ni sikusare otomnia ya kaskazini au siku ya kwanza baada ya sikusare hiyo. Katika nusutufe ya kaskazini ya dunia mchana huanza kuwa mfupi na muda wa usiku kuwa mrefu zaidi kuliko mchana. Kwenye nusutufe ya kusini mwendo ni kinyume, kuanzia sasa mchana hurefuka na giza ya usiku kupungua. Mabadiliko haya yanaonekana kote duniani kwenye umbali fulani kutoka ikweta.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki