23 Septemba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 11: Mstari 11:
* [[1915]] - [[Clifford Shull]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1994]]
* [[1915]] - [[Clifford Shull]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1994]]
* [[1949]] - [[Bruce Springsteen]], mwanamuziki kutoka [[Marekani]]
* [[1949]] - [[Bruce Springsteen]], mwanamuziki kutoka [[Marekani]]
* [[1972]] - [[Jermaine Dupri]], mwanamuziki kutoka [[Marekani]]


== Waliofariki ==
== Waliofariki ==

Pitio la 12:51, 3 Desemba 2015

Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

23 Septemba kwa kawaida ama ni sikusare otomnia ya kaskazini au siku ya kwanza baada ya sikusare hiyo. Katika nusutufe ya kaskazini ya dunia mchana huanza kuwa mfupi na muda wa usiku kuwa mrefu zaidi kuliko mchana. Kwenye nusutufe ya kusini mwendo ni kinyume, kuanzia sasa mchana hurefuka na giza ya usiku kupungua. Mabadiliko haya yanaonekana kote duniani kwenye umbali fulani kutoka ikweta.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki