Muziki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9: Mstari 9:


[[Jamii:Muziki|*]]
[[Jamii:Muziki|*]]
Muziki Ulianza Mnamo Mwaka 500BC katika bala la Afrika, Muziki Uligundulika Aridhini Na Mtu Aliyefahamika Kwa Jina La Phaitogorathy
Muziki Ulianza Mnamo Mwaka 500BC katika bala la Afrika, Muziki Uligundulika Aridhini Na Mtu Aliyefahamika Kwa Jina La Phaitogorathyhkghggggggv
bkvvvhkbv

Pitio la 20:08, 14 Novemba 2015

Muziki ni aina ya sanaa inayotumia sauti mbalimbali. Asili ya neno iko katika lugha ya Kigiriki ambamo huitwa μουσική (mousike). Muziki hutumia sauti za kibinadamu na ala za muziki ama kwa pamoja au pekee.

Baadhi ya sifa za muziki ni uzito wa sauti (pitch) na wizani au mahadhi (rhythm).

Aina ya muziki inayopatikana kote duniani ni nyimbo ambazo ni maneno yanayotolewa kwa sauti na mahadhi fulani matra nyingi pamoja na ala za muziki.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Muziki Ulianza Mnamo Mwaka 500BC katika bala la Afrika, Muziki Uligundulika Aridhini Na Mtu Aliyefahamika Kwa Jina La Phaitogorathyhkghggggggv