Demokrasia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|he}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Election MG 3455.JPG|thumb|Demokrasia inahusisha upigaji wa kura]]
'''Demokrasia''' (ni neno kutoka lugha ya [[Kigiriki]], ''demokratia'' maana yake ''utawala wa watu'') ni aina ya serikali. Kwenye demokrasia,
'''Demokrasia''' (ni neno kutoka lugha ya [[Kigiriki]], ''demokratia'' maana yake ''utawala wa watu'') ni aina ya serikali. Kwenye demokrasia,
watu fulani wa kwenye jumuia wanamchagua kiongozi wao. Kuna njia nyingi za kufanya hivi, lakini mchakato kamili kikawaida huitwa ''kushikilia [[uchaguzi]]''.
watu fulani wa kwenye jumuia wanamchagua kiongozi wao. Kuna njia nyingi za kufanya hivi, lakini mchakato kamili kikawaida huitwa ''kushikilia [[uchaguzi]]''.

Pitio la 13:19, 12 Novemba 2015

Demokrasia inahusisha upigaji wa kura

Demokrasia (ni neno kutoka lugha ya Kigiriki, demokratia maana yake utawala wa watu) ni aina ya serikali. Kwenye demokrasia, watu fulani wa kwenye jumuia wanamchagua kiongozi wao. Kuna njia nyingi za kufanya hivi, lakini mchakato kamili kikawaida huitwa kushikilia uchaguzi.

Vyama vya kisiasa] uhusika na masuala ya kisiasa. Yaonekana kwamba yaweza kuwa rahisi kuwa na chama cha kisiasa. Chama kitakachoshinda uchaguzi watamchagua kiongozi wanayemtaka.