Waluguru : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
maudhui
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Waluguru''' ni kabila la [[Tanzania]] wanaoishi katika mikoa ya [[Mkoa wa Morogoro|Morogoro]] na [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], hasa kwenye [[Milima ya Uluguru]] ([[Wilaya ya Mvomero]]) na katika [[wilaya ya Morogoro vijijini]] ukianzia [[Matombo]] kuelekea [[Dutumi]] hadi [[Bwakila Juu]]. Kuna makundi makubwa mawili ya Waluguru. Makundi hayo ni Waluguru wanaoishi milimani na wale wanaoishi mabondeni. Waluguru wa milimani wanapatikana katika maeneo ya Mgeta, Kolero,baadhi ya maeneo ya Matombo na Kiroka, na pembezoni mwa Milima ya Uluguru hasa ile ya Tao la Mashakiri. Katika mfumo wa kifamilia Waluguru hufuata ukoo kwa mama yaani kwa kiingereza <nowiki>''</nowiki>matrilineare<nowiki>''</nowiki>. Hatahivyo, mtoto wa kiluguru huitwa jina la ukoo wa baba yake. Yaani: Waluguru wana 'mtala' na ukoo. Mtala ni jina la ukoo wa baba ambalo ndilo analoitwa mtoto. Kwa mfano: mtoto akiitwa 'Kobero' jina hili ni mtala na si la ukoo wake kwani 'kobero' ni jina analopewa mtoto ambaye baba yake ni 'mmadze'. Halikadhalika, mtoto akiitwa 'Mkude' jina hili ni mtala wa ukoo wa 'Wamwenda' lakini si la ukoo wa mtoto. Hivyo basi, kwa Waluguru baba hutao jina na mama hutoa ukoo: jina ni la ukoo wa baba, na ukoo ni wa mama!
'''Waluguru''' ni [[kabila]] la watu wa [[Tanzania]] wanaoishi katika [[mikoa]] ya [[Mkoa wa Morogoro|Morogoro]] na [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], hasa kwenye [[Milima ya Uluguru]] ([[Wilaya ya Mvomero]]) na katika [[wilaya ya Morogoro vijijini]] ukianzia [[Matombo]] kuelekea [[Dutumi]] hadi [[Bwakila Juu]].


[[Lugha]] yao ni [[Kiluguru]].
Waluguru ni maarufu kwa kilimo cha magimbi na wana aina kadhaa za magimbi. Auna moja wapo ni ile ya 'mahimbi' ambayo huchukua muda mrefu kuiva. Iwapo aina hii ya mahimbi italiwa mapema kabla ya kuiva kabisa mlaji atawashwa midomo na ulimi. Hivyo basi, mpishi hupaswa kuwa mvumilivu kwa masaa kadhaa kabla ya kuepua chungu cha mahimbi na kuyala. Masuala ya jando na unyago yalikuwa ya kawaida sana kabla ya miaka ya tisini. Hatahivyo, maingiliano ya kijamii na kupanuka kwa elimu kumefanya shughuli hizi zisipewe kipaumbele. Waluguru wa milimani ni wahanga wa masimulizi ya "mumiani" kiasi kwamba mpaka sasa huweza kuwahusisha wageni na hao "mumiani".


Upande wa [[dini]], kwa kawaida wale wa wanaoishi mabondeni ni [[Waislamu]] na wale wa milimani ni [[Wakristo]], hasa wa [[Kanisa Katoliki]].
Kielimu jamii hii haitilii maanani sana suala la elimu na ndio mana idadi kubwa ya watu wa jamii ya waluguru hawana elimu ya kutosha.


Kuna makundi makubwa mawili ya Waluguru. Makundi hayo ni Waluguru wanaoishi [[Milima|milimani]] na wale wanaoishi [[bonde|mabondeni]].
Waluguru wanapenda kuishi pamoja na kushirikiana. Pia hupensda kunywa pombe na kushiriki kwenye sherehe za kimila.


Waluguru wa milimani wanapatikana katika maeneo ya [[Mgeta]], [[Kolero]], baadhi ya maeneo ya Matombo na [[Kiroka]], na pembezoni mwa Milima ya Uluguru hasa ile ya [[Tao la Mashakiri]].
Tamaduni na mila zao hufahamika sana katika suala la kucheza [[ngoma]] za asili kati ya [[Oktoba]] hadi [[Januari]], hasa wale wanaoishi katika vijiji vya [[Longwe]], [[Temekelo|Tegekelo]], [[Mgata|Mgeta]], [[Kumba]], [[Singisa]], [[Bwakira]], [[Kolero]], [[Nyamighadu]] na vinginevyo vingi.

Waluguru wa milimani ni [[mhanga|wahanga]] wa [[simulizi|masimulizi]] ya "[[mumiani]]" kiasi kwamba mpaka sasa huweza kuwahusisha wageni na hao "mumiani".

Katika mfumo wa [[familia|kifamilia]] Waluguru hufuata [[ukoo]] wa [[mama]] yaani kwa [[Kiingereza]] <nowiki>''</nowiki>matrilineare<nowiki>''</nowiki>. Hata hivyo, [[mtoto]] wa Kiluguru huitwa [[jina]] la [[ukoo]] wa [[baba]] yake. Yaani: Waluguru wana 'mtala' na ukoo. Mtala ni jina la ukoo wa baba ambalo ndilo analoitwa mtoto. Kwa mfano: mtoto akiitwa 'Kobero' jina hili ni mtala, si jina la ukoo wake, kwani 'Kobero' ni jina analopewa mtoto ambaye baba yake ni 'Mmadze'. Hali kadhalika, mtoto akiitwa 'Mkude' jina hili ni mtala wa ukoo wa 'Wamwenda', lakini si jina la ukoo wa mtoto. Hivyo basi, kwa Waluguru baba hutoa jina na mama hutoa ukoo: jina ni la ukoo wa baba, na ukoo ni wa mama!
Waluguru wanapenda kuishi pamoja na kushirikiana. Pia hupenda kunywa [[pombe]] na kushiriki kwenye [[sherehe]] za kimila.

[[Utamaduni]] na [[mila]] zao hufahamika sana katika suala la kucheza [[ngoma]] za asili kati ya [[Oktoba]] hadi [[Januari]], hasa wale wanaoishi katika [[kijiji|vijiji]] vya [[Longwe]], [[Temekelo|Tegekelo]], [[Mgata|Mgeta]], [[Kumba]], [[Singisa]], [[Bwakira]], [[Kolero]], [[Nyamighadu]] na vinginevyo vingi.

Masuala ya [[jando]] na [[unyago]] yalikuwa ya kawaida sana kabla ya [[miaka ya 1990]]. Hata hivyo, maingiliano ya kijamii na kupanuka kwa [[elimu]] kumefanya shughuli hizo zisipewe [[kipaumbele]] tena.

Mpaka hivi karibuni jamii hii ilikuwa haitilii maanani sana suala la [[elimu]] na ndiyo maana [[idadi]] kubwa ya Waluguru hawana elimu ya kutosha.


Vyakula vya asili ni [[magimbi]], [[matuwi]] na [[mahimbi]] pamoja na [[muhogo|mihogo]].
Vyakula vya asili ni [[magimbi]], [[matuwi]] na [[mahimbi]] pamoja na [[muhogo|mihogo]].


Waluguru ni maarufu kwa [[kilimo]] cha [[magimbi]] na wana aina kadhaa za magimbi. Aina mojawapo ni ile ya 'mahimbi' ambayo huchukua [[muda]] mrefu kuiva. Iwapo aina hii ya mahimbi italiwa mapema kabla ya kuiva kabisa, mlaji atawashwa [[midomo]] na [[ulimi]]. Hivyo basi, [[mpishi]] hupaswa kuwa mvumilivu kwa masaa kadhaa kabla ya kuepua [[chungu]] cha mahimbi na kuyala.
Lugha yao ni [[Kiluguru]].


{{mbegu-utamaduni-TZ}}
Upande wa [[dini]], kwa kawaida wale wa wanaoishi mabondeni ni [[Waislamu]] na wale wa milimani ni [[Wakristo]], hasa wa [[Kanisa Katoliki]].


{{DEFAULTSORT:Luguru}}
{{DEFAULTSORT:Luguru}}

Pitio la 15:46, 11 Novemba 2015

Waluguru ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika mikoa ya Morogoro na Pwani, hasa kwenye Milima ya Uluguru (Wilaya ya Mvomero) na katika wilaya ya Morogoro vijijini ukianzia Matombo kuelekea Dutumi hadi Bwakila Juu.

Lugha yao ni Kiluguru.

Upande wa dini, kwa kawaida wale wa wanaoishi mabondeni ni Waislamu na wale wa milimani ni Wakristo, hasa wa Kanisa Katoliki.

Kuna makundi makubwa mawili ya Waluguru. Makundi hayo ni Waluguru wanaoishi milimani na wale wanaoishi mabondeni.

Waluguru wa milimani wanapatikana katika maeneo ya Mgeta, Kolero, baadhi ya maeneo ya Matombo na Kiroka, na pembezoni mwa Milima ya Uluguru hasa ile ya Tao la Mashakiri.

Waluguru wa milimani ni wahanga wa masimulizi ya "mumiani" kiasi kwamba mpaka sasa huweza kuwahusisha wageni na hao "mumiani".

Katika mfumo wa kifamilia Waluguru hufuata ukoo wa mama yaani kwa Kiingereza ''matrilineare''. Hata hivyo, mtoto wa Kiluguru huitwa jina la ukoo wa baba yake. Yaani: Waluguru wana 'mtala' na ukoo. Mtala ni jina la ukoo wa baba ambalo ndilo analoitwa mtoto. Kwa mfano: mtoto akiitwa 'Kobero' jina hili ni mtala, si jina la ukoo wake, kwani 'Kobero' ni jina analopewa mtoto ambaye baba yake ni 'Mmadze'. Hali kadhalika, mtoto akiitwa 'Mkude' jina hili ni mtala wa ukoo wa 'Wamwenda', lakini si jina la ukoo wa mtoto. Hivyo basi, kwa Waluguru baba hutoa jina na mama hutoa ukoo: jina ni la ukoo wa baba, na ukoo ni wa mama!

Waluguru wanapenda kuishi pamoja na kushirikiana. Pia hupenda kunywa pombe na kushiriki kwenye sherehe za kimila.

Utamaduni na mila zao hufahamika sana katika suala la kucheza ngoma za asili kati ya Oktoba hadi Januari, hasa wale wanaoishi katika vijiji vya Longwe, Tegekelo, Mgeta, Kumba, Singisa, Bwakira, Kolero, Nyamighadu na vinginevyo vingi.

Masuala ya jando na unyago yalikuwa ya kawaida sana kabla ya miaka ya 1990. Hata hivyo, maingiliano ya kijamii na kupanuka kwa elimu kumefanya shughuli hizo zisipewe kipaumbele tena.

Mpaka hivi karibuni jamii hii ilikuwa haitilii maanani sana suala la elimu na ndiyo maana idadi kubwa ya Waluguru hawana elimu ya kutosha.

Vyakula vya asili ni magimbi, matuwi na mahimbi pamoja na mihogo.

Waluguru ni maarufu kwa kilimo cha magimbi na wana aina kadhaa za magimbi. Aina mojawapo ni ile ya 'mahimbi' ambayo huchukua muda mrefu kuiva. Iwapo aina hii ya mahimbi italiwa mapema kabla ya kuiva kabisa, mlaji atawashwa midomo na ulimi. Hivyo basi, mpishi hupaswa kuwa mvumilivu kwa masaa kadhaa kabla ya kuepua chungu cha mahimbi na kuyala.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waluguru kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.