Sitini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sitini''' (kutoka Kiarabu ستون) ni namba inayoandikwa '''60''' kwa tarakimu za kawaida na LX kwa zile za Kirumi. Ni n...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:52, 10 Novemba 2015

Sitini (kutoka Kiarabu ستون) ni namba inayoandikwa 60 kwa tarakimu za kawaida na LX kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 59 na kutangulia 61.

Tanbihi