Pasifiki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Tengua pitio 961033 lililoandikwa na 41.222.181.177 (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Pacificocean.PNG|thumb|right|300px|Bahari ya Pasifiki duniani]]
[[Picha:Pacificocean.PNG|thumb|right|300px|Bahari ya Pasifiki katika dunia.]]
'''Pasifiki''' ni [[bahari]] kubwa kuliko bahari zote duniani.
'''Pasifiki''' ni [[bahari]] kubwa kuliko zote [[duniani]].


Pasifiki iko kati ya [[Bara la Amerika]] kwa upande wa mashariki na [[Bara la Asia]] / [[Australia]] upanda wa magharibi. Eneo lake ni karibu nusu ya uso wa dunia.
Pasifiki iko kati ya [[Bara la Amerika]] upande wa [[mashariki]] na [[Bara la Asia]] / [[Australia]] upande wa [[magharibi]].
Eneo lake ni [[kilometa za mraba]] milioni 179.7 ambayo si bahari kubwa tu bali pia ni eneo kubwa kuliko nchi kavu yote duniani.
Visiwa vyake vingi huhesabiwa mara nyingi pamoja na Australia kama "[[Australia na Pasifiki]]".


Pasifiki ina kina cha wastani wa [[mita]] 4,028; kina kikubwa katika [[mfereji wa Mariana]] kinafikia mita 11,034.
[[Picha:Pacific Ocean surface 1.jpg|thumb|left|200px|Pasifi inayoonekana kutoka angani; Australia iko upande wa kushoto chini]]
Kuna visiwa zaidi ya 25,000 katika Pasifiki vingi ni vidogo sana.


Eneo lake ni [[kilometa za mraba]] [[milioni]] 179.7 ambayo si bahari kubwa tu bali pia ni eneo kubwa kuliko [[nchi kavu]] yote duniani: ni karibu [[nusu]] ya uso wa dunia.
Bahari za pembeni ziko hasa upande wa Asia / Australia. Kati ya hizo ni: [[Bahari ya Calebes]], [[Bahari ya Uchina ya Kusini]], na [[Bahari ya Mashariki]].


Kuna [[visiwa]] zaidi ya 25,000 katika Pasifiki; vingi ni vidogo sana. [[Visiwa]] hivyo huhesabiwa mara nyingi pamoja na [[Australia]] kama "[[Australia na Pasifiki]]".
Jina la Pasifiki (Kilatini: yenye amani, yaani kimya) limetokana na Wazungu wa kwanza waliovuka bahari hii mwaka 1520 [[BK]] kutoka [[Amerika ya Kusini]] hadi [[Ufilipino]] wakaikuta kuwa ni bahari tulivu. Lakini Pasifiki inaweza kuwa na [[dhoruba]] kali sana. Ni eneo lenye [[tetemeko la ardhi|matetemeko ya ardhi]] mengi yanayosababisha mawimbi haribifu ya [[tsunami]] ambayo yalimaliza miji na vijiji ufukoni.

Pasifiki ina [[kina]] cha [[wastani]] wa [[mita]] 4,028; kina kirefu katika [[mfereji wa Mariana]] kinafikia mita 11,034.
[[Picha:Pacific Ocean surface 1.jpg|thumb|left|200px|Pasifiki inavyoonekana kutoka [[anga|angani]]; Australia iko upande wa kushoto chini.]]

Bahari za pembeni ziko hasa upande wa Asia / Australia. Kati ya hizo ni: [[Bahari ya Celebes]], [[Bahari ya Uchina ya Kusini]] na [[Bahari ya Mashariki]].

[[Jina]] la Pasifiki (kwa [[Kilatini]]: yenye [[amani]], yaani [[kimya]]) limetokana na [[Wazungu]] wa kwanza waliovuka bahari hii mwaka [[1520]] [[BK]] kutoka [[Amerika ya Kusini]] hadi [[Ufilipino]] wakaikuta kuwa ni bahari tulivu. ù

Lakini Pasifiki inaweza kuwa na [[dhoruba]] kali sana. Ni eneo lenye [[tetemeko la ardhi|matetemeko ya ardhi]] mengi yanayosababisha ma[[wimbi]] haribifu ya [[tsunami]] ambayo yalimaliza [[miji]] na [[vijiji]] [[ufuko]]ni.


{{mbegu-jio}}
{{mbegu-jio}}

Pitio la 13:41, 9 Novemba 2015

Faili:Pacificocean.PNG
Bahari ya Pasifiki katika dunia.

Pasifiki ni bahari kubwa kuliko zote duniani.

Pasifiki iko kati ya Bara la Amerika upande wa mashariki na Bara la Asia / Australia upande wa magharibi.


Eneo lake ni kilometa za mraba milioni 179.7 ambayo si bahari kubwa tu bali pia ni eneo kubwa kuliko nchi kavu yote duniani: ni karibu nusu ya uso wa dunia.

Kuna visiwa zaidi ya 25,000 katika Pasifiki; vingi ni vidogo sana. Visiwa hivyo huhesabiwa mara nyingi pamoja na Australia kama "Australia na Pasifiki".

Pasifiki ina kina cha wastani wa mita 4,028; kina kirefu katika mfereji wa Mariana kinafikia mita 11,034.

Pasifiki inavyoonekana kutoka angani; Australia iko upande wa kushoto chini.

Bahari za pembeni ziko hasa upande wa Asia / Australia. Kati ya hizo ni: Bahari ya Celebes, Bahari ya Uchina ya Kusini na Bahari ya Mashariki.

Jina la Pasifiki (kwa Kilatini: yenye amani, yaani kimya) limetokana na Wazungu wa kwanza waliovuka bahari hii mwaka 1520 BK kutoka Amerika ya Kusini hadi Ufilipino wakaikuta kuwa ni bahari tulivu. ù

Lakini Pasifiki inaweza kuwa na dhoruba kali sana. Ni eneo lenye matetemeko ya ardhi mengi yanayosababisha mawimbi haribifu ya tsunami ambayo yalimaliza miji na vijiji ufukoni.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.