Haki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
[[Picha:Iustitia Papstgrab Bamberg aus Gottfried Henschen u Daniel Papebroch 1747.jpg|thumb|left|200px|Haki]]
[[Picha:Iustitia Papstgrab Bamberg aus Gottfried Henschen u Daniel Papebroch 1747.jpg|thumb|left|200px|Haki]]
[[File:Luca Giordano 013.jpg|thumb|Haki ilivyoonyeshwa na [[Luca Giordano]].]]
[[File:Luca Giordano 013.jpg|thumb|Haki ilivyoonyeshwa na [[Luca Giordano]].]]
[[File:JMR-Memphis1.jpg|thumb|200px|right|[[Bibi Haki]], kielelezo cha adili hili, amechorwa kama [[mungu]] wa kike akiwa na vifaa vitatu: [[upanga]], [[mizani]] na kitambaa cha macho.<ref>Luban, ''Law's Blindfold'', 23.</ref>]]
[[File:JMR-Memphis1.jpg|thumb|200px|right|[[Bibi Haki]], kielelezo cha adili hili, amechorwa kama [[mungu]] wa kike akiwa na vifaa vitatu: [[upanga]], [[mizani]] na [[kitambaa]] [[macho]]ni.<ref>Luban, ''Law's Blindfold'', 23.</ref>]]
[[Picha:Iustitia Papstgrab Bamberg aus Gottfried Henschen u Daniel Papebroch 1747.jpg|thumb|left|140px|Haki]]
'''Haki''' ndiyo [[utaratibu]] unaotakiwa katika mafungamano.
'''Haki''' ndiyo [[utaratibu]] unaotakiwa katika mafungamano.



Pitio la 12:49, 8 Novemba 2015

Maadili bawaba
Haki
Haki ilivyoonyeshwa na Luca Giordano.
Bibi Haki, kielelezo cha adili hili, amechorwa kama mungu wa kike akiwa na vifaa vitatu: upanga, mizani na kitambaa machoni.[1]

Haki ndiyo utaratibu unaotakiwa katika mafungamano.

Kwa Kigiriki inaitwa dikaiosyne, kutokana na neno asili dike yaani anayeelekeza na kwa hiyo pia mwongozo, utaratibu. Tofauti na nomos, yaani sheria inayoongoza wanyama pia, dike inahitajiwa na binadamu ili kuishi kwa utaratibu. Ni kinyume cha bie, ukatili, nguvu inayoangamiza. Dikaios (mwenye kujali haki), ni mtu anayemtendea kila mmoja haki yake. Dikaia zoe ni maisha ya kiutu yanayopingana na hybris (kiburi) na ushenzi.

Kwa Kilatini kutokana na neno jus, haki, linapatikana neno justus, mwenye kujali haki, na hatimaye justitia, iliyo adili la msingi la utu linalotufanya tumpatie mwingine anachostahili.

Maana ya haki inatofautiana Kwa kila utamaduni. Katika maana ya kwanza kabisa ambayo ilitafsiriwa na mwanafalsafa wa Ugiriki, Plato kwenye kazi yake Jamhuri. Kutokana na historia dhana mbalimbali zimegunduliwa.

Tanbihi

  1. Luban, Law's Blindfold, 23.