Haki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10: Mstari 10:
==utambulishaji wa uelewa==
==utambulishaji wa uelewa==
[[File:Luca Giordano 013.jpg|thumb|haki ilivyoonyeshwa na [[Luca Giordano]].]]
[[File:Luca Giordano 013.jpg|thumb|haki ilivyoonyeshwa na [[Luca Giordano]].]]
[[File:JMR-Memphis1.jpg|thumb|300px|right|[[Lady Justice]], a symbol of justice. She is depicted as a [[goddess]] equipped with three items: a sword, symbolising the coercive power of a [[court]]; [[Weighing scale#Balance|scales]], representing an objective standard by which competing claims are weighed; and a blindfold indicating that justice should be impartial and meted out objectively, without fear or favor and regardless of money, wealth, power or identity.<ref>Luban, ''Law's Blindfold'', 23.</ref>]]

[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Maadili]]

Pitio la 12:35, 8 Novemba 2015

Maadili bawaba
Haki

Haki ndiyo utaratibu unaotakiwa katika mafungamano.

Kwa Kigiriki inaitwa dikaiosyne, kutokana na neno asili dike yaani anayeelekeza na kwa hiyo pia mwongozo, utaratibu. Tofauti na nomos, yaani sheria inayoongoza wanyama pia, dike inahitajiwa na binadamu ili kuishi kwa utaratibu. Ni kinyume cha bie, ukatili, nguvu inayoangamiza. Dikaios (mwenye kujali haki), ni mtu anayemtendea kila mmoja haki yake. Dikaia zoe ni maisha ya kiutu yanayopingana na hybris (kiburi) na ushenzi.

Kwa Kilatini kutokana na neno jus, haki, linapatikana neno justus, mwenye kujali haki, na hatimaye justitia, iliyo adili la msingi la utu linalotufanta tumpatie mwingine anachostahili.maana ya haki inatofautiana na kila utamaduni. Ka tika maana ya kwanza kabisa ambayo ilitafsiliwa na filosofia wa kigiriki Plato kwenye kazi yake kwaJamhuri . Kutokana na historia dhana mbalimbali zimegunduliwa.

utambulishaji wa uelewa

haki ilivyoonyeshwa na Luca Giordano.
Lady Justice, a symbol of justice. She is depicted as a goddess equipped with three items: a sword, symbolising the coercive power of a court; scales, representing an objective standard by which competing claims are weighed; and a blindfold indicating that justice should be impartial and meted out objectively, without fear or favor and regardless of money, wealth, power or identity.[1]
  1. Luban, Law's Blindfold, 23.