Jamii : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:BushmenSan.jpg|thumb|Jamii ya watu wanaoishi bado kama kale ([[Wasan]] wa [[Afrika Kusini]]).]]
'''Jamii''' ni istilahi inayoelezea uwepo wa pamoja wa mwanadamu (kwa pamoja, inataja jumla ya mitandao ya kijamii na nguvu ya mitandao yake). Haitaji kila kitu ambacho mtu anachofikiria kuwa nacho au hana, bali yale ya mambo ambayo kila mtu anayetenda kwa dhumuni maalumu.
'''Jamii''' ni [[istilahi]] inayoelezea uwepo wa pamoja wa [[mwanadamu]] (kwa pamoja, inataja jumla ya mitandao ya kijamii na nguvu ya mitandao yake).

Haitaji kila kitu ambacho mtu anafikiria kuwa nacho au hana, bali yale ya mambo ambayo kila mtu anayetenda kwa dhumuni maalumu.

Jamii ni watu wanaokaa pamoja na kushirikiana kwa mambo mbalimbali, kwa mfano masuala ya [[afya]], [[elimu]] na [[ulinzi]]: mambo hayo yanapowakutanisha watu hujenga kitu kinachoitwa jamii, jamii hujenga [[umoja]] na [[upendo]] baina ya watu husika.

Jamii bora inahitaji watu wenye upendo: watu wakipendana huweza kuishi na kujenga jamii bora, hivyo ni vyema watu wa sehemu husika wapendane ili waweze kujenga jamii ya namna hiyo.

{{mbegu-sayansi}}
{{mbegu-sayansi}}

[[File:BushmenSan.jpg|thumb|jamii ya watu wa kale(san afrika kusini).]]
[[Jamii:Sayansi ya jamii]]
[[Jamii:Sayansi ya jamii]]
[[Jamii:Jamii|!]]
[[Jamii:Jamii|!]]
[[Jamii:Elimu jamii]]

Jamii ni watu wanapokoa pamoja na kushirikiana kwa mambo mbalimbali
mfano masuala ya afya,elimu na ulinzi mambo hayo yanapowakutanisha watu hujenga kitu kinachoitwa jamii, jamii hujunga umoja na upendo baina ya watu

jamii bora inahitaji watu wenye upendo, watu wakipendana huweza kuishi na kujenga jamii bora hivyo ni vyema watu wa sehemu husika wapendane ili waweze kujenga jamii bora

Pitio la 12:04, 8 Novemba 2015

Jamii ya watu wanaoishi bado kama kale (Wasan wa Afrika Kusini).

Jamii ni istilahi inayoelezea uwepo wa pamoja wa mwanadamu (kwa pamoja, inataja jumla ya mitandao ya kijamii na nguvu ya mitandao yake).

Haitaji kila kitu ambacho mtu anafikiria kuwa nacho au hana, bali yale ya mambo ambayo kila mtu anayetenda kwa dhumuni maalumu.

Jamii ni watu wanaokaa pamoja na kushirikiana kwa mambo mbalimbali, kwa mfano masuala ya afya, elimu na ulinzi: mambo hayo yanapowakutanisha watu hujenga kitu kinachoitwa jamii, jamii hujenga umoja na upendo baina ya watu husika.

Jamii bora inahitaji watu wenye upendo: watu wakipendana huweza kuishi na kujenga jamii bora, hivyo ni vyema watu wa sehemu husika wapendane ili waweze kujenga jamii ya namna hiyo.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jamii kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.