Wasaksoni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|350px|[[Ramani ya Dola la Roma na makabila ya Ulaya mwaka 125 BK, ikionyesha makazi ya Wasaksoni kaskazin...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Roman Empire 125.png|thumb|right|350px|[[Ramani]] ya [[Dola la Roma]] na makabila ya Ulaya mwaka [[125]] [[BK]], ikionyesha makazi ya Wasaksoni kaskazini mwa Ujerumani.]]
[[Image:Roman Empire 125.png|thumb|right|350px|[[Ramani]] ya [[Dola la Roma]] na makabila ya Ulaya mwaka [[125]] [[BK]], ikionyesha makazi ya Wasaksoni kaskazini mwa Ujerumani.]]
'''Wasaksoni''' (kwa [[Kilatini]] Saxones, kwa [[lugha]] za [[Kijerumaniki]] Seaxe, Sahson, Sassen, Sachsen, Saksen, kutoka "seax", jina la [[kisu]] maalumu walichotumia) walikuwa wakazi wa [[Ujerumani]] [[Kaskazini]] walioenea katika sehemu za jirani.
'''Wasaksoni''' (kwa [[Kilatini]] Saxones, kwa [[lugha]] za [[Kijerumaniki]] Seaxe, Sahson, Sassen, Sachsen, Saksen, kutoka "seax", jina la [[kisu]] maalumu walichotumia) walikuwa [[shirikisho]] la ma[[kabila]] kadhaa ya [[Wagermanik]] wakazi wa [[Ujerumani]] [[Kaskazini]] walioenea katika sehemu za jirani.


Baadhi yao, pamoja na jirani zao [[Waangli]], jumla watu 200,000 hivi, walivamia [[Britania]] katika [[karne ya 5]] na baada ya hapo, wakiweka msingi wa [[Uingereza]] wa leo.
Baadhi yao, pamoja na jirani zao [[Waangli]], jumla watu 200,000 hivi, walivamia [[Britania]] katika [[karne ya 5]] na baada ya hapo, wakiweka msingi wa [[Uingereza]] wa leo.
Mstari 24: Mstari 24:
{{mbegu}}
{{mbegu}}


[[Category:Makabila ya Ulaya]]
[[Category:Makabila ya Kijerumani]]
[[Category:Historia ya Ujerumani]]
[[Category:Historia ya Ujerumani]]
[[Category:Historia ya Uingereza]]
[[Category:Historia ya Uingereza]]

Pitio la 07:53, 7 Novemba 2015

Ramani ya Dola la Roma na makabila ya Ulaya mwaka 125 BK, ikionyesha makazi ya Wasaksoni kaskazini mwa Ujerumani.

Wasaksoni (kwa Kilatini Saxones, kwa lugha za Kijerumaniki Seaxe, Sahson, Sassen, Sachsen, Saksen, kutoka "seax", jina la kisu maalumu walichotumia) walikuwa shirikisho la makabila kadhaa ya Wagermanik wakazi wa Ujerumani Kaskazini walioenea katika sehemu za jirani.

Baadhi yao, pamoja na jirani zao Waangli, jumla watu 200,000 hivi, walivamia Britania katika karne ya 5 na baada ya hapo, wakiweka msingi wa Uingereza wa leo.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje