Tofauti kati ya marekesbisho "Kilimo"

Jump to navigation Jump to search
8 bytes removed ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
 
Watu hupanda mimea na kuitunza hadi mavuno hasa kwa uzalishaji wa chakula cha kibindadamu na lishe ya wanyama lakini pia kwa shabaha ya kupata malighafi mbalimbali zinazotumiwa kwa kutengeneza nguo za watu. Siku hizi kilimo kinalenga pia [[nishati ya mimea]].
 
NapendaSerikali kuishaurizinatakiwa serikali ya Tanzania izidizizidi kuongeza dhana[[zana]] za kilimo ili watu waweze kupata soko zurikwa lawingi [[mazao ya biashara]] na [[mazao ya chakula]].
 
== Historia ==
 
Inaaminiwa ya kwamba kilimo kilianza katika sehemu tatu za dunia ambako watu walitambua mimea yenye lishe kubwa na kupanda mbegu zao. Maeneo haya ambako kilimo kilianza ni [[China]], [[Amerika ya Kaskazini]] na [[Mashariki ya Kati]]. Wataalamu hawakubaliani kama kilimo cha [[Afrika]] kina asili yake huko Mashariki ya Kati au kama ilianzishwa barani peke yake.
 
Napenda kuishauri serikali ya Tanzania izidi kuongeza dhana za kilimo ili watu waweze kupata soko zuri la mazao ya biashara na mazao ya chakula.
{{mbegu-uchumi}}
<!-- interwiki -->

Urambazaji