Turkmenistan : Tofauti kati ya masahihisho
d Bot: Migrating 174 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q874 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 52: | Mstari 52: | ||
}} |
}} |
||
'''Turkmenistan''' ni nchi ya [[Asia ya Kati]]. |
|||
'''Turkmenistan''' ni nchi ya [[Asia ya Kati]]. Jina limetokana lugha ya [[Kiajemi]] lamaanisha "nchi wa [[Waturkmeni]]". Hadi [[1991]] ilikuwa jamhuri ya [[Umoja wa Kisovyet]] kwa jina la [[Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kimturkmeni]]. Imepakana na [[Afghanistan]], [[Uajemi]], [[Uzbekistan]], [[Kazakhstan]] na [[Bahari Kaspi]]. Wakazi walio wengi ni Waislamu; kuna kadirio ya Waislamu asilimia 87 kati ya wakazi wote lakini haijulikani ni wangapi wanaofuata dini yao. |
|||
Jina limetokana na [[lugha]] ya [[Kiajemi]]; lamaanisha "nchi wa [[Waturkmeni]]". |
|||
Imepakana na [[Afghanistan]], [[Uajemi]], [[Uzbekistan]], [[Kazakhstan]] na [[Bahari Kaspi]]. |
|||
== Jiografia == |
== Jiografia == |
||
[[Picha:Turkmenistan-map.png|thumb|300px| |
[[Picha:Turkmenistan-map.png|thumb|300px|[[Ramani]] ya Turkmenistan.]] |
||
Nchi ina eneo la [[km²]] 488,100, karibu sawa na [[Kamerun]]. |
|||
Sehemu kubwa (80 %) ni [[jangwa]], hasa [[jangwa Karakum]]. |
|||
[[Milima]] ya [[Kopet Dag]] kusini magharibi inafikia [[kimo]] cha [[mita]] 2,912. |
|||
⚫ | |||
Kati ya [[mito]] mikubwa ni [[Amu Darya]], [[mto Murghab]] na mto [[Hari Rud]]. |
|||
⚫ | |||
⚫ | |||
⚫ | |||
⚫ | |||
[[Mvua]] ni chache; zanyesha hasa kati ya [[Januari]] na [[Mei]]. |
|||
⚫ | |||
[[Miji]] muhimu ni [[Ashgabat]], [[Turkmenbashi]] (zamani Krasnovodsk) na [[Dashoguz]]. |
|||
⚫ | Baada ya kifo cha Niyasov kamati ya viongozi ilimteua |
||
⚫ | |||
⚫ | |||
Hadi mwaka [[1991]] ilikuwa [[jamhuri]] ya [[Umoja wa Kisovyet]] kwa jina la [[Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiturkmeni]]. |
|||
Wakati wa kuporomoka kwa Umoja wa Kisovyeti kiongozi wa [[chama cha kikomunisti]] [[Saparmirat Niyasov]] akaendelea kushika uongozi akitawala kama [[rais]] hadi [[kifo]] chake mwaka [[2006]]. |
|||
⚫ | |||
Mapato kutoka [[gesi]] na mafuta ya [[petroli]] zilimwezesha kuendesha [[uchumi]] wa nchi kwa [[hiari]] yake bila mabadiliko makubwa jinsi ilivyokuwa kawaida wakati wa anguko la ukomunisti penginepo. |
|||
⚫ | |||
⚫ | |||
Mwenyekiti wa bunge alishtakiwa [[mahakama]]ni juu ya makosa fulani na Berdimuhammedov alithibitishwa katika [[uchaguzi]] wa tarehe [[11 Februari]] [[2007]] kwa 89% za [[kura]]. Watazamaji walidai kura ilikuwa ya uwongo. |
|||
==Watu== |
|||
Wakazi walio wengi ni [[Waislamu]]; kuna kadirio ya Waislamu asilimia 87 kati ya wakazi wote lakini haijulikani ni wangapi wanaofuata [[dini]] yao. |
|||
⚫ | |||
{{asia}} |
{{asia}} |
||
⚫ | |||
[[Jamii:Turkmenistan]] |
[[Jamii:Turkmenistan]] |
Pitio la 13:31, 2 Novemba 2015
Turkmenistan |
---|
Turkmenistan ni nchi ya Asia ya Kati.
Jina limetokana na lugha ya Kiajemi; lamaanisha "nchi wa Waturkmeni".
Imepakana na Afghanistan, Uajemi, Uzbekistan, Kazakhstan na Bahari Kaspi.
Jiografia
Nchi ina eneo la km² 488,100, karibu sawa na Kamerun.
Sehemu kubwa (80 %) ni jangwa, hasa jangwa Karakum.
Milima ya Kopet Dag kusini magharibi inafikia kimo cha mita 2,912.
Kati ya mito mikubwa ni Amu Darya, mto Murghab na mto Hari Rud.
Hali ya hewa si baridi sana lakini kuna joto kali wakati wa kiangazi.
Mvua ni chache; zanyesha hasa kati ya Januari na Mei.
Miji muhimu ni Ashgabat, Turkmenbashi (zamani Krasnovodsk) na Dashoguz.
Historia
Turkmenistan ilitwaliwa na Urusi tangu mwisho wa karne ya 19 ikaingia hivyo katika Umoja wa Kisovyeti baada ya mwaka 1917 na kuwa jamhuri ndani yake.
Hadi mwaka 1991 ilikuwa jamhuri ya Umoja wa Kisovyet kwa jina la Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiturkmeni.
Wakati wa kuporomoka kwa Umoja wa Kisovyeti kiongozi wa chama cha kikomunisti Saparmirat Niyasov akaendelea kushika uongozi akitawala kama rais hadi kifo chake mwaka 2006.
Niyasov alibadilisha utawala wa chama cha kikomunisti kuwa udikteta wake mwenyewe. Akaanza kutumia jina la "Turkmenbashi" (Baba wa Turkmeni wote) na sanamu zake zikasimamishwa kote nchiniː mara nyingi sanamu za dhahabu hata kama wananchi walikuwa na maisha magumu.
Mapato kutoka gesi na mafuta ya petroli zilimwezesha kuendesha uchumi wa nchi kwa hiari yake bila mabadiliko makubwa jinsi ilivyokuwa kawaida wakati wa anguko la ukomunisti penginepo.
Zaidi ya nusu ya wananchi hawana ajira na kuishi maisha ya umaskini, lakini wanapewa chumvi, umeme na maji bure. Mkate na petroli zinauzwa kwa bei ya chini sana, lakini kuna uhaba wa mara kwa mara.
Baada ya kifo cha Niyasov kamati ya viongozi ilimteua makamu wa waziri mkuu Gurbanguly Berdimuhammedov kuwa rais mpya ingawa kikatiba mwenyekiti wa bunge alitakiwa kuchukua nafasi hii.
Mwenyekiti wa bunge alishtakiwa mahakamani juu ya makosa fulani na Berdimuhammedov alithibitishwa katika uchaguzi wa tarehe 11 Februari 2007 kwa 89% za kura. Watazamaji walidai kura ilikuwa ya uwongo.
Watu
Wakazi walio wengi ni Waislamu; kuna kadirio ya Waislamu asilimia 87 kati ya wakazi wote lakini haijulikani ni wangapi wanaofuata dini yao.
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Turkmenistan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |