Tofauti kati ya marekesbisho "Uislamu"

Jump to navigation Jump to search
Mjini Yathrib mtume aliendelea kuwa kiongozi wa kisiasa na wa kijeshi. Alifanya mapatano na watu wa Yathrib iliyoitwa baadaye "madinat an-nabi"" ikajulikana kwa kifupi kama [[Madina]].
 
Kutoka Madina mtume alianza kushambulia misafara ya watu wa Maka akawashinda mara kadhaa. Wakati huohuo aliwafukuza [[Wayahudi]] wa Yathrib. Hasa kwa vile Waislam walipohama Makkah kwenda MadiynahMadina, Makafiri waliwalazimisha kuziacha mali zao zote huko, na kuondoka bila chochote isipokuwa nguo zao na mnyama wa kumpanda. Wengine walinyang’anywa hata wanyama wao, na ikawabidi kutembea kwa miguu mpaka MadiynahMadina na wengine waliviziwa njiani na kuuliwa. ([http://alhidaaya.com/sw/node/5198 Soma vita vya Badr Soma vita vya Badr])
 
Mwaka 628 viongozi wa Maka walilazimishwa kufanya mapatano na Waislamu na mwaka 630 jeshi la Waislamu iliingia mjini Maka.
Anonymous user

Urambazaji