Mkoa wa Mtwara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 24: Mstari 24:
Baada ya kujengwa kwa daraja mtoni Rufiji mwaka 2002 kuna matumaini mpya ya kuwa na barabara inayotumika kati ya Mtwara na [[Daressalaam]]. Eneo la Mnazi Bay ina gesi inayoweza kutumika kwa mahitaji ya nishati ya eneo lote.

Tegemeo kubwa la uchumi kwa mkoa wa mtwara ni kilimo hasa ikitegemea zao la korosho kwa wakulima wa wilaya zote za mkoa wa mtwara,kwa miaka ya karibuni wilaya ya TANDAHIMBA na masasi ndio wamekuwa wazalishaji wa kiwango cha juu wa korosho.Pia mfumo wa stakabadhi ghalani umesaidia kwa kiasi fulani kwa miaka ya awali ya uanzishwaji mfumo huo(msimu wa 2008/2009)kwa miaka iliyofuata vyama vya msingi vimeonekana kuelemewa na mfumo huo na kusabaisha sinto fahamu inayoweza kurekebishwa kwa kuwahusisha wadau wote wa zao la korosho.

==Majimbo ya bunge==
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
* Mtwara Mjini: [[Abdallah Nachuma]] ([[CUF]])
* Nanyamba - [[Abdalah Chikota]] ([[CCM]]) amepita bila kupingwa
* Mtwara Vijijini: [[Hawa Ghasia]] (CCM)
* Tandahimba - [[Ahmad Katani]] (CUF) atangazwa mshindi
* Newala Mjini: Kepteni [[George Mkuchika]] wa (CCM)
* Newala Vijijini: [[Rashid Ajali Akbar]] (CCM)
* Nanyumbu: Ndugu [[William Dua Mkurua]] (CCM)
* Ndanda - [[Cecil Mwambe]]([[CHADEMA]])
* Masasi
* Lulindi:
* Kilosa: [[Baraka Bawazir]] (CCM)

==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==

Pitio la 21:43, 31 Oktoba 2015

Mahali pa Mkoa wa Mtwara katika Tanzania

Mtwara ni jina la mji na mkoa wa Tanzania.

Mkoa wa Mtwara ni kati ya mikoa 26 ya Tanzania. Uko katika pembe la kusini-mashariki kabisa la nchi. Umepakana na Mkoa wa Lindi upande wa kaskazini, Bahari Hindi kwa mashariki, Msumbiji katika kusini na Mkoa wa Ruvuma upande wa Magharibi. Mpaka wa kusini ni Mto Ruvuma.

Ukiwa na 16,720 km² Mtwara ni mkoa mdogo katika Tanzania pamoja na Kilimanjaro.

Wakazi

Jumla kuna wakazi 1,128,523 (sensa 2002). Wanawake wanazidi wakiwa asilimia 53 ya wakazi wote kwa sababu wanaume wengi hutoka nje kutafuta kazi.

Kati ya makabila ya Mtwara ndio Wamakonde wanaojulikana zaidi kutokana na sanaa yao ya uchongaji wa ubao hasa mpingo.

Utawala

Kuna wilaya 5: Mtwara Mjini (pia huitwa "Mikindani"), Mtwara Vijijini, Masasi, Nanyumbu, Newala na Tandahimba. Ndani yao ndipo tarafa 21, kata 98 na vijiji 554.

Uchumi

Mtwara iko kati ya mikoa iliyobaki nyuma miaka mingi kutokana na ugumu wa mawasiliano na barabara isiyopitika kwa sehemu kubwa ya kila mwaka.

Historia ya Mtwara inakuja sambamba na kumbukumbu la jaribio la Waingereza la kuanzisha mradi mkubwa wa maendeleo katika eneo hili ulioshindikana kabisa. Kuanzia 1947 serikali ya kikoloni ilijenga bandari ya Mtwara pamoja na reli. Vilevile Mtwara mjini ilipangwa vizuri na kubwa. Sababu yake ilikuwa mpango wa kuanzisha kilimo cha mashamba makubwa kwa ajili ya karanga hasa zilizohitajika kwa ajili ya mahitaji ya Waingereza ya mafuta ya kupikia. Mradi huu ulishindikana kabisa, pesa nyingi ilipotea hadi mradi ulifutwa kabla ya Tanzania kupata uhuru. Reli iliondolewa tena 1963.

Bandari imebaki ambayo haijaona kazi nyingi lakini bado ina faida ya kuwa na nafasi nzuri sana ya kupokea meli kubwa. Wakati wa mapambano dhidi ya serikali ya ubaguzi wa rangi katika Afrika Kusini mipango mbalimbali imetungwa kutengeneza njia ya kupeleka bishaa kutoka bandari ya Mtwara kwenda Songea na kutoka huko Malawi kwa kuvuka Ziwa la Nyasa.

Baada ya kujengwa kwa daraja mtoni Rufiji mwaka 2002 kuna matumaini mpya ya kuwa na barabara inayotumika kati ya Mtwara na Daressalaam. Eneo la Mnazi Bay ina gesi inayoweza kutumika kwa mahitaji ya nishati ya eneo lote. Tegemeo kubwa la uchumi kwa mkoa wa mtwara ni kilimo hasa ikitegemea zao la korosho kwa wakulima wa wilaya zote za mkoa wa mtwara,kwa miaka ya karibuni wilaya ya TANDAHIMBA na masasi ndio wamekuwa wazalishaji wa kiwango cha juu wa korosho.Pia mfumo wa stakabadhi ghalani umesaidia kwa kiasi fulani kwa miaka ya awali ya uanzishwaji mfumo huo(msimu wa 2008/2009)kwa miaka iliyofuata vyama vya msingi vimeonekana kuelemewa na mfumo huo na kusabaisha sinto fahamu inayoweza kurekebishwa kwa kuwahusisha wadau wote wa zao la korosho.

Majimbo ya bunge

Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:

Viungo vya nje