Nile ya buluu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
imeunganishwa na Abbai
Mstari 1: Mstari 1:
{{Unganisha|Abbai}}
{{Mto | jina = Mto wa Nile ya buluu ([[Ethiopia]]: [[Abbai]])
{{Mto | jina = Mto wa Nile ya buluu ([[Ethiopia]]: [[Abbai]])
| picha = Blue Nile Falls Ethiopia.jpg
| picha = Blue Nile Falls Ethiopia.jpg

Pitio la 07:18, 30 Oktoba 2015

Mto wa Nile ya buluu (Ethiopia: Abbai)
Maporomoko ya Tis Issat ya Nile ya buluu
Chanzo Ziwa Tana (chemchemi ya Gishe Abbai)
Mdomo Mto Nile mjini Khartum (Sudan)
Nchi Ethiopia, Sudan
Urefu 1.350 km
Kimo cha chanzo 1830 m
Mkondo ?? m³/s
Eneo la beseni 326,400 km²


Ramani ya Nile ya buluu

Nile ya buluu ni tawimto mkubwa wa mto Nile. Inaanza katika Ziwa Tana kwenye nyanda za juu za Ethiopia na kutelemka hadi Sudan. Mdomo wake ni Sudan mjini Khartum inapounganika na Nile nyeupe na kuunda mto wa Nile mwenyewe.

Kwa jumla Nile ya bluu inabeba maji mengi kushinda Nile nyeupe.

'Ndani ya nchi Ethiopia mto huitwa kwa jina Abbai' (mto mkubwa, pia Abay au Abai) ni mto mkubwa kabisa katika Ethiopia.

Baada ya kutoka Ethiopia na kuingia Sudan inaitwa kwa (Kiarabu: النيل الأزرق; an-nīl al-azraq).

Ina chanzo chake kwenye kimo cha mita 1800 juu ya UB inapotoka katika Ziwa Tana katika nyanda za juu za Ethiopia. Kwanza inaelekea kusini-mashariki lakini inabadilika mwelekeo kwenda magharibi halafu kaskazini.

Waethiopia wengi wanasemekana kuitazama kama mto mtakatifu.


Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nile ya buluu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.