Uhindi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Tengua pitio 959372 lililoandikwa na 92.12.203.53 (Majadiliano)
Mstari 71: Mstari 71:
* [[Majimbo ya Uhindi]]
* [[Majimbo ya Uhindi]]
* [[Orodha ya lugha za Uhindi]]
* [[Orodha ya lugha za Uhindi]]

== ==
{| class="infobox borderless"
|+ National symbols of the Republic of India (Official)
|-
! '''National animal'''
|
| [[Image:2005-bandipur-tusker.jpg|50px]]
|-
! '''National bird'''
|
| [[Image:Pavo muticus (Tierpark Berlin) - 1017-899-(118).jpg|50px]]
|-
! '''National tree'''
|
| [[Image:Banyan tree on the banks of Khadakwasla Dam.jpg|50px]]
|-
! '''National flower'''
|
| [[Image:Sacred lotus Nelumbo nucifera.jpg|50px]]
|-
! '''National heritage animal'''
|
| [[Image:Panthera tigris.jpg|50px]]
|-
! '''National aquatic marine mammal'''
|
| [[Image:PlatanistaHardwicke.jpg|50px]]
|-
! '''National reptile'''
|
| [[Image:King-Cobra.jpg|50px]]
|-
! '''National heritage mammal'''
|
| [[Image:Hanuman Langur.jpg|50px]]
|-
! '''National fruit'''
|
| [[Image:An Unripe Mango Of Ratnagiri (India).JPG|50px]]
|-
! '''National temple'''
|
| [[Image:New Delhi Temple.jpg|50px]]
|-
! '''National river'''
|
| [[Image:River Ganges.JPG|50px]]
|-
! '''National mountain'''
|
| [[Image:Nanda Devi 2006.JPG|50px]]
|-
|}


== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Nje ==

Pitio la 10:40, 29 Oktoba 2015

Uhindi

Uhindi (pia: India) ni nchi katika bara la Asia. Kwa eneo ina nafasi ya saba duniani, lakini kwa idadi ya wakazi (1,210,193,422 mwaka 2011) ni nchi ya pili duniani baada ya China. Ni nchi ya kidemokrasia yenye watu wengi zaidi duniani.

Imepakana na Pakistan, China, Nepal, Bhutan, Bangladesh na Myanmar.

Mji mkuu ni New Delhi, lakini mji mkubwa zaidi ni Mumbai.

Wakazi walio wengi (80.5 %) hufuata dini ya Uhindu. Takriban 13.4 % ni Waislamu; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya tatu katika umma wa Kiislamu baada ya Waislamu wa Indonesia. Dini nyingine ni Ukristo (2.3%), Usikh (1,9%), Ubuddha (0.8%), Ujain (0.4%), Uzoroastro na Bahai.

Lugha rasmi ni Kihindi, ambacho ni lugha ya Kihindi-Kiulaya, pamoja na Kiingereza. Kuna lugha 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana. Kusini mwa Uhindi watu husema lugha za Kidravidi kama Kikannada, Kitelugu, Kitamil na Kimalayalam. Kaskazini husema hasa Kipunjabi, Kibengali, Kigujarati na Kimarathi. Lugha ndogo chache ambazo sizo lugha za Kihindi-Kiulaya wala za Kidravidi ni lugha za Kisino-Tibeti, lugha za Kiaustro-Asiatiki au lugha za Kitai-Kadai. Visiwani mwa Andaman, kulikuwa na lugha za Kiandamani lakini nyingi zao zimeshatoweka kabisa.

Kiutawala Uhindi ni shirikisho la jamhuri lenye majimbo ya kujitawala 29 pamoja na maeneo ya shirikisho 7.

Historia

:tazama pia: Uhindi wa Kiingereza

Tazama pia

Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uhindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.