Musoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 22: Mstari 22:
==Historia==
==Historia==
Kabla ya ukoloni eneo la Musoma ilkuwa nchi ya Wakabwe, kundi la Wajaluo waliowahi kuhamia hapa.<ref>Siso - Shetler, uk. 75</ref> Wajerumani wa kwanza walifika mnamo mwaka 1910 walikuwa wamisionari kwa jina la Dominik na Paulo waliojenga makazi na hule karibu na makao ya Mtemi Nyabange<ref>Kutokana na maelezo katika [[Kamusi ya Koloni za Kijerumani]] Nyabange iliyoitwa "Njawangi" nau ilkuwa takriban kilomita 10 upande wa mashariki wa Musoma kwenye mwambao wa hori ya ziwa, angalia makala "Muansa" na "Njawangi" katika kamusi hii</ref> wakafuatwa na afisa wa kwanza Mjerumani aliyeitwa na wenyeji "Bwana Sirusi" mwenye kazi ya afisa forodha. Huyu Sirusi alihamia mahali pa Musoma ya leo kwa sababu huko kina ya maji ufukoni kilifaa zaidi kwa meli kufika<ref>Siso - Shetler, uk. 79</ref>. Hivyo Musoma ilianzishwa kama bandari na baadaye makao ya ofisi mdogo wa [[Mikoa_ya_Tanzania#Utawala_wa_Kijerumani|Mkoa wa kikoloni wa Mwanza]]. Baada ya kuondolewa kwa Wajerumani Waingereza waliingia. Katika [[eneo la kudhaminiwa]] la [[Tanganyika]] Musoma ilikuwa makao makuu ya wilaya (''district'') ikaingia vile katika Tanzania huru.

Mwalimu [[Julius Nyerere]] alisoma shule hapa Musoma kuanzia mwaka 1934 na mwaka 1953 tarehe 21 Januari alirudi kufunga ndoa hapa na Maria Waningu Gabriel Magige katika kanisa la kikatoliki Musoma Mwisenge <ref>[https://books.google.co.uk/books?id=qDE3BAAAQBAJ&pg=PA231&lpg=PA231&dq=tanganyika+administration+musoma&source=bl&ots=t33uimYIhS&sig=RiDh-PWDkXTWdUeGxBb7hR9EG6s&hl=de&sa=X&ved=0CD8Q6AEwBWoVChMIn_v57sLjyAIVAscUCh1uRAG7#v=onepage&q=musoma&f=false Thomas Molony, Nyerere: The Early Years , Boydell & Brewer Ltd, 2014 , uk. 189]</ref>.

== Marejeo na Viungo vya Nje ==
== Marejeo na Viungo vya Nje ==

Pitio la 22:08, 27 Oktoba 2015

Musoma
Musoma is located in Tanzania
Musoma
Musoma

Mahali pa mji wa Musoma katika Tanzania

Majiranukta: 1°29′24″S 33°48′0″E / 1.49000°S 33.80000°E / -1.49000; 33.80000
Nchi Tanzania
Mkoa Mara
Wilaya Musoma Mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 108 242

Musoma ni mji wa Tanzania uliopo kwenye mwambao wa mashariki ya Ziwa Viktoria inapakana na Wilaya ya Musoma Vijijini. Ni makao makuu ya Mkoa wa Mara. Musoma imepata halmashauri na hadhi ya manisipaa. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa mji huo ilihesabiwa kuwa 108,242 [1].

Tembo beach

Historia

Kabla ya ukoloni eneo la Musoma ilkuwa nchi ya Wakabwe, kundi la Wajaluo waliowahi kuhamia hapa.[2] Wajerumani wa kwanza walifika mnamo mwaka 1910 walikuwa wamisionari kwa jina la Dominik na Paulo waliojenga makazi na hule karibu na makao ya Mtemi Nyabange[3] wakafuatwa na afisa wa kwanza Mjerumani aliyeitwa na wenyeji "Bwana Sirusi" mwenye kazi ya afisa forodha. Huyu Sirusi alihamia mahali pa Musoma ya leo kwa sababu huko kina ya maji ufukoni kilifaa zaidi kwa meli kufika[4]. Hivyo Musoma ilianzishwa kama bandari na baadaye makao ya ofisi mdogo wa Mkoa wa kikoloni wa Mwanza. Baada ya kuondolewa kwa Wajerumani Waingereza waliingia. Katika eneo la kudhaminiwa la Tanganyika Musoma ilikuwa makao makuu ya wilaya (district) ikaingia vile katika Tanzania huru.

Mwalimu Julius Nyerere alisoma shule hapa Musoma kuanzia mwaka 1934 na mwaka 1953 tarehe 21 Januari alirudi kufunga ndoa hapa na Maria Waningu Gabriel Magige katika kanisa la kikatoliki Musoma Mwisenge [5].

Marejeo na Viungo vya Nje

  • Matokeo ya sensa ya 2002 kwa mkoa wa Mara
  • Siso - Shetler, uk. 75
  • Kutokana na maelezo katika Kamusi ya Koloni za Kijerumani Nyabange iliyoitwa "Njawangi" nau ilkuwa takriban kilomita 10 upande wa mashariki wa Musoma kwenye mwambao wa hori ya ziwa, angalia makala "Muansa" na "Njawangi" katika kamusi hii
  • Siso - Shetler, uk. 79
  • Thomas Molony, Nyerere: The Early Years , Boydell & Brewer Ltd, 2014 , uk. 189
  • Kata za Wilaya ya Musoma Mjini - Mkoa wa Mara - Tanzania

    Buhare | Bweri | Iringo | Kamunyonge | Kigera | Kitaji | Kwangwa | Makoko | Mshikamano | Mukendo | Mwigobero | Mwisenge | Nyakato | Nyamatare | Nyasho | Rwamlimi

    Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
    Je unajua kitu kuhusu Musoma (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
    Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

    Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.