Tanzanaiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Zoïsite (Tanzanite).jpg|thumb|200px|<center>Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia]]
[[Image:Zoïsite (Tanzanite).jpg|thumb|200px|<center>Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia]]
[[Image:Tanzanite taillée.jpg|thumb|200px|Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa]]
[[Image:Tanzanite taillée.jpg|thumb|200px|Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa]]
'''Tanzanaiti''' ni [[kito]] chenye rangi ya buluu hadi dhambarau na kijani. Inachimbwa katika kaskazini ya [[Tanzania]].
'''Tanzanaiti''' ni [[kito]] chenye [[rangi]] ya [[buluu]] hadi [[zambarau]] na [[kijani]]. Inachimbwa kaskazini mwa [[Tanzania]] tu.

Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka [[1967]] katika milima ya [[Mererani]] kwenye [[Wilaya ya Simanjiro]], karibu na [[Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro]] na mji wa [[Arusha]]. Kito hiki inapendwa sana kimataifa bei zake zilicheza kati ya dola za Marekani 250 na 500 kwa karati moja (=milli[[gramu]] 200).
Kito hiki kinapendwa sana kimataifa; [[bei]] zake zilicheza kati ya [[Dola ya Marekani|dola za Marekani]] 250 na 500 kwa [[karati]] moja (=milli[[gramu]] 200).

Kikemia ni aina ya madini ya Zoiziti ambayo haina thamani kubwa vile katika maumbo mengine. Lakini tanzanaiti bandia inatengenezwa kwa kupasha moto fuwele za zoiziti ya kawaida zinazobadilika rangi motoni.
[[Kemia|Kikemia]] ni aina ya [[madini]] ya [[Zoiziti]] ambayo haina [[thamani]] kubwa vile katika [[umbo|maumbo]] mengine. Lakini tanzanaiti bandia inatengenezwa kwa kupasha [[moto]] [[fuwele]] za zoiziti ya kawaida zinazobadilika rangi motoni.

Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka [[1967]] katika [[milima]] ya [[Mererani]] kwenye [[Wilaya ya Simanjiro]], karibu na [[Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro]] na [[mji]] wa [[Arusha]].
==Viungo vya Nje==

==Viungo vya nje==
{{commons category|Tanzanite|Tanzanaiti (tanzanite)}}
{{commons category|Tanzanite|Tanzanaiti (tanzanite)}}
* [http://www.time.com/time/magazine/article/0,9171,1594137-1,00.html Time Article of 2007 about the popularity of tanzanite].
* [http://www.time.com/time/magazine/article/0,9171,1594137-1,00.html Time Article of 2007 about the popularity of tanzanite].
Mstari 16: Mstari 18:
* [http://www.palagems.com/Images/mineral_news/munich09_tanz.jpg A picture of a purported 737.81 carat faceted tanzanite] (No reliable source to corroborate)
* [http://www.palagems.com/Images/mineral_news/munich09_tanz.jpg A picture of a purported 737.81 carat faceted tanzanite] (No reliable source to corroborate)

[[Category:madini]]
[[Category:Madini]]
[[Jamii:Tanzania]]

Pitio la 11:24, 24 Oktoba 2015

Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia
Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa

Tanzanaiti ni kito chenye rangi ya buluu hadi zambarau na kijani. Inachimbwa kaskazini mwa Tanzania tu.

Kito hiki kinapendwa sana kimataifa; bei zake zilicheza kati ya dola za Marekani 250 na 500 kwa karati moja (=milligramu 200).

Kikemia ni aina ya madini ya Zoiziti ambayo haina thamani kubwa vile katika maumbo mengine. Lakini tanzanaiti bandia inatengenezwa kwa kupasha moto fuwele za zoiziti ya kawaida zinazobadilika rangi motoni.

Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka 1967 katika milima ya Mererani kwenye Wilaya ya Simanjiro, karibu na Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro na mji wa Arusha.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: