Tanzanaiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
'''Tanzanaiti''' ni [[kito]] chenye rangi ya buluu hadi dhambarau na kijani. Inachimbwa katika kaskazini ya [[Tanzania]].
'''Tanzanaiti''' ni [[kito]] chenye rangi ya buluu hadi dhambarau na kijani. Inachimbwa katika kaskazini ya [[Tanzania]].

Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka [[1967]] katika milima ya [[Mererani]] kwenye [[Wilaya ya Simanjiro]], karibu na [[Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro]]. mji wa [[Arusha]]. Kito hiki inapendwa sana kimataifa bei zake zilicheza kati ya dola za Marekani 250 na 500 kwa karati moja (=milli[[gramu]] 200).
Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka [[1967]] katika milima ya [[Mererani]] kwenye [[Wilaya ya Simanjiro]], karibu na [[Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro]] na mji wa [[Arusha]]. Kito hiki inapendwa sana kimataifa bei zake zilicheza kati ya dola za Marekani 250 na 500 kwa karati moja (=milli[[gramu]] 200).

Kikemia ni aina ya madini ya Zoiziti ambayo haina thamani kubwa vile katika maumbo mengine. Lakini tanzanaiti bandia inatengenezwa kwa kupasha moto fuwele za zoiziti ya kawaida zinazobadilika rangi motoni.

==Viungo vya Nje==
{{commons category|Tanzanite|Tanzanaiti (tanzanite)}}
* [http://www.time.com/time/magazine/article/0,9171,1594137-1,00.html Time Article of 2007 about the popularity of tanzanite].
* [http://www.time.com/time/magazine/article/0,9171,900582,00.html Article in the early stages of tanzanite (1969)]
* [http://www.swalagemtraders.com/news/2008/02/06/4-tanzanite-july-7-1967-tanzanite-something-new-out-of-africa-but-no-one-knew-what-it-was Interesting article and documents from the early days: "Something new out of Africa but no one knew what it was".]
* [http://www.gemstone.org/gem-by-gem/english/tanzanite.html The ICA's tanzanite information page.]
* [http://www.irinnews.org/Film/?id=4119 Gem Slaves - a short film from 2006 on tanzanite's child miners]
* [http://www.palagems.com/Images/mineral_news/munich09_tanz.jpg A picture of a purported 737.81 carat faceted tanzanite] (No reliable source to corroborate)

[[Category:madini]]
[[Category:madini]]

Pitio la 09:33, 24 Oktoba 2015

Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia
Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa

Tanzanaiti ni kito chenye rangi ya buluu hadi dhambarau na kijani. Inachimbwa katika kaskazini ya Tanzania.

Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka 1967 katika milima ya Mererani kwenye Wilaya ya Simanjiro, karibu na Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro na mji wa Arusha. Kito hiki inapendwa sana kimataifa bei zake zilicheza kati ya dola za Marekani 250 na 500 kwa karati moja (=milligramu 200).

Kikemia ni aina ya madini ya Zoiziti ambayo haina thamani kubwa vile katika maumbo mengine. Lakini tanzanaiti bandia inatengenezwa kwa kupasha moto fuwele za zoiziti ya kawaida zinazobadilika rangi motoni.

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: