Kaizari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 12: Mstari 12:


==Ulaya==
==Ulaya==
Katika [[Ulaya]] yenyewe mfalme wa [[Wafranki]] [[Karolo Mkuu]] alipokea cheo cha "Caesar" au Kaizari. Baadaye wafalme [[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Ujerumani|Wajerumani]] waliomfuata Karolo Mkuu katika sehemu ya mashariki ya ufalme wake waliendelea kutumia cheo hiki cha Caesar au Kaizari.
Katika [[Ulaya]] yenyewe mfalme wa [[Wafaranki]] [[Karolo Mkuu]] alipokea cheo cha "Caesar" au Kaizari. Baadaye wafalme [[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Ujerumani|Wajerumani]] waliomfuata Karolo Mkuu katika sehemu ya mashariki ya ufalme wake waliendelea kutumia cheo hiki cha Caesar au Kaizari.


Neno la Kaizari liliingia katika lugha ya Kiswahili wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] huko [[Tanzania]]. [[Austria]] na [[Ujerumani]] zilitawaliwa hadi mwisho wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] [[1918]] na wafalme wenye cheo cha "Kaizari" (''[[kijer.]]: Kaiser)''.
Neno la Kaizari liliingia katika lugha ya Kiswahili wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] huko [[Tanzania]]. [[Austria]] na [[Ujerumani]] zilitawaliwa hadi mwisho wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] [[1918]] na wafalme wenye cheo cha "Kaizari" (''[[kijer.]]: Kaiser)''.
Mstari 18: Mstari 18:
Vilevile mfalme wa [[Urusi]] alikuwa na cheo kilekile kilichoitwa "[[Tsar]]" kwa Kirusi, ilhali neno hili limeundwa pia kutoka kwa "Caesar".
Vilevile mfalme wa [[Urusi]] alikuwa na cheo kilekile kilichoitwa "[[Tsar]]" kwa Kirusi, ilhali neno hili limeundwa pia kutoka kwa "Caesar".


Lugha za [[Kiingerezea]] na [[Kifaransa]] zilitumia cheo tofauti cha macaesar wa Kiroma ndicho "Imperator" (=mwenye amri, mwenye mamlaka, jemadari) kilichokuwa "Emperor" ([[Kiingereza|Kiing.]]) au "Empereur" ([[Kifaransa]]).
Lugha za [[Kiingereza]] na [[Kifaransa]] zilitumia cheo tofauti cha macaesar wa Kiroma ndicho "Imperator" (=mwenye amri, mwenye mamlaka, jemadari) kilichokuwa "Emperor" ([[Kiingereza|Kiing.]]) au "Empereur" ([[Kifaransa]]).


==Nje ya Ulaya==
==Nje ya Ulaya==
Kaizari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefu huu hata Shah wa [[Uajemi]], Tenno wa [[Japani]], Huangdi wa [[China]] na [[Negus Negesti]] wa [[Ethiopia]] hutajwa kwa cheo cha "Kaizari".
Kaizari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefu huu hata Shah wa [[Uajemi]], Tenno wa [[Japani]], Huangdi wa [[China]] na [[Negus Negesti]] wa [[Ethiopia]] hutajwa kwa cheo cha "Kaizari".


Malkia [[Malkia Viktoria (Uingereza)|Viktoria]] alitumia cheo cha Kaizari ("empress") kama mtawala wa [[Uhindi]] tangu [[1877]].
Malkia [[Viktoria wa Uingereza)|Viktoria]] alitumia cheo cha Kaizari ("empress") kama mtawala wa [[Uhindi]] tangu [[1877]].


Wakati wa ukoloni mtawala mkuu wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] alikuwa [[Kaizari Wilhelm II]] wa Ujerumani; kwenye sarafu ya [[rupia]] alionyeshwa pamoja cheo kwa lugha ya [[Kilatini]] "imperator".
Wakati wa [[ukoloni]] mtawala mkuu wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] alikuwa [[Kaizari Wilhelm II]] wa Ujerumani; kwenye sarafu ya [[rupia]] alionyeshwa pamoja cheo kwa lugha ya [[Kilatini]] "imperator".

Rais [[Jean-Bedel Bokassa]] alijitangaza kuwa Kaizari ("empereur") wa [[Afrika ya Kati]] mwaka [[1977]] akiiga mfano wa [[Napoleon Bonaparte]] aliyejiwekea taji la Kaizari ya [[Ufaransa]] mwaka [[1804]]. Bokassa alipinduliwa 1979 na nchi kuwa [[jamhuri]] tena.


Rais [[Jean-Bedel Bokassa]] alijitangaza kuwa Kaizari ("empereur") wa [[Afrika ya Kati]] mwaka [[1977]] akiiga mfano wa [[Napoleon Bonaparte]] aliyejiwekea [[taji]] la Kaizari ya [[Ufaransa]] mwaka [[1804]]. Bokassa alipinduliwa [[1979]] na nchi kuwa [[jamhuri]] tena.


[[Category:Cheo| ]]
[[Category:Cheo| ]]

Pitio la 12:05, 23 Oktoba 2015

Julius Caesar alikuwa asili ya cheo cha Kaizari
Kaizari Augusto wa Dola la Roma
Mtawala wa Ufaransa Napoleon Bonaparte aliyejiwekea taji la Kaizari 1804
Kaizari Bokassa 1977

Kaizari ni cheo cha mfalme mkuu. Neno la Kiswahili limetokana na lugha ya Kijerumani "Kaiser" lakini asili yake ni Kilatini "Caesar".

Asili ya Kiroma

Asili ya cheo ni Julius Caesar aliyekuwa kiongozi wa Dola la Roma hadi kuuawa kwake na wapinzani mwaka 44 KK. Watawala waliomfuata walianza kutumia jina la Caesar kwa heshima yake hadi jina lilikuwa cheo.

Cheo cha Kaizari kiliendelea kutumika katika eneo la Dola la Roma ya Mashariki (Bizanti) hadi 1453.

Ulaya

Katika Ulaya yenyewe mfalme wa Wafaranki Karolo Mkuu alipokea cheo cha "Caesar" au Kaizari. Baadaye wafalme Wajerumani waliomfuata Karolo Mkuu katika sehemu ya mashariki ya ufalme wake waliendelea kutumia cheo hiki cha Caesar au Kaizari.

Neno la Kaizari liliingia katika lugha ya Kiswahili wakati wa ukoloni wa Kijerumani huko Tanzania. Austria na Ujerumani zilitawaliwa hadi mwisho wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia 1918 na wafalme wenye cheo cha "Kaizari" (kijer.: Kaiser).

Vilevile mfalme wa Urusi alikuwa na cheo kilekile kilichoitwa "Tsar" kwa Kirusi, ilhali neno hili limeundwa pia kutoka kwa "Caesar".

Lugha za Kiingereza na Kifaransa zilitumia cheo tofauti cha macaesar wa Kiroma ndicho "Imperator" (=mwenye amri, mwenye mamlaka, jemadari) kilichokuwa "Emperor" (Kiing.) au "Empereur" (Kifaransa).

Nje ya Ulaya

Kaizari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefu huu hata Shah wa Uajemi, Tenno wa Japani, Huangdi wa China na Negus Negesti wa Ethiopia hutajwa kwa cheo cha "Kaizari".

Malkia Viktoria alitumia cheo cha Kaizari ("empress") kama mtawala wa Uhindi tangu 1877.

Wakati wa ukoloni mtawala mkuu wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani alikuwa Kaizari Wilhelm II wa Ujerumani; kwenye sarafu ya rupia alionyeshwa pamoja cheo kwa lugha ya Kilatini "imperator".

Rais Jean-Bedel Bokassa alijitangaza kuwa Kaizari ("empereur") wa Afrika ya Kati mwaka 1977 akiiga mfano wa Napoleon Bonaparte aliyejiwekea taji la Kaizari ya Ufaransa mwaka 1804. Bokassa alipinduliwa 1979 na nchi kuwa jamhuri tena.