Salawe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
Shughuli kuu wanzofanya katika kata hii ni kilimo , na zao kuu ambayo wanayategemea ni mpunga na mahindi. Kata ya Salawe inapakana na [[Mkoa wa Mwanza]].
Shughuli kuu wanzofanya katika kata hii ni kilimo , na zao kuu ambayo wanayategemea ni mpunga na mahindi. Kata ya Salawe inapakana na [[Mkoa wa Mwanza]].
==shughuli za kilimo==
==shughuli za kilimo==
wakazi wa kat ya [[salawe]] wanajishughulisha na kilimo cha jembe la mkono ambapo wakazi wa kata hiyo hulima mazao kama vile [[mpunga]], [[mahindi]], [[viazi vitamu]] na [[ndengu]] pamoja na mbonga za majani kama vile [[msusa]] na mboga nyingine za majani. Mboga hizi za majani hupatika na kwa jia ya umwagiliaji.
wakazi wa kata ya [[salawe]] wanajishughulisha na kilimo cha [[jembe]] la mkono ambapo wakazi wa kata hiyo hulima mazao kama vile [[mpunga]], [[mahindi]],[[nyanya]], [[viazi vitamu]] na [[ndengu]] pamoja na mbonga za majani kama vile [[msusa]] na mboga nyingine za majani. Mboga hizi za majani hupatika na kwa njia ya umwagiliaji. Wakati wa uvunaji wa mazao jamii ya watu wa kata ya salawe hujuuika kwa pamoja na mara nyingi muhusika mwenye mazao huandaa chula kwa ajiri ya shughuli hiyo wakati wa uvunaji wa mazao hayo.
==shughili za kibiashara==
katika kata ya salawe biashara inayo shika kasi kwa kiasi kikubwa ni biashara ya [[nyanya]] ambapo wakazi wengi hujishughulisha na zao hilo kibiashara katika kuwaingizia kipato cha kila siku. Shughuli nyingine ni kama vile biashara za wanyama kama vile [[ng'ombe]] [[kondoo]], [[mbuzi]] pamoja na [[ndege]] kama vile [[kuku]] pamoja na biashara nyingine wanazo fanya wanadamu.
==shughuli za kijamii==
katika shughuli za kijamii kama vile ndoa. Katika ndoa mwanaume hutoa [[mahari]] kubwa kama vile [[ng'ombe]] ishilini hususani mwanamke anapokuwa na rangi nyeupe au [[mweupe]], mara nyingi [[ndoa]] nyingi hifanyika kipindi cha kilimo ambapo watu huweza kuwa na chakula cha kutosha kwa ajiri ya tukio la [[harusi]]. Mahari hutorewa mara nyingi na baba wa mtoto anaeoa hususani mtoto wa kiume.Mara nyingi kinapo tokea kitu katika kata hii kama vile [[msiba]] watu wote hujumuika kwa pamoja.

==Marejeo==
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{marejeo}}

Pitio la 09:44, 20 Oktoba 2015

Salawe ni kata ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,247 waishio humo. [1]

Shughuli kuu wanzofanya katika kata hii ni kilimo , na zao kuu ambayo wanayategemea ni mpunga na mahindi. Kata ya Salawe inapakana na Mkoa wa Mwanza.

shughuli za kilimo

wakazi wa kata ya salawe wanajishughulisha na kilimo cha jembe la mkono ambapo wakazi wa kata hiyo hulima mazao kama vile mpunga, mahindi,nyanya, viazi vitamu na ndengu pamoja na mbonga za majani kama vile msusa na mboga nyingine za majani. Mboga hizi za majani hupatika na kwa njia ya umwagiliaji. Wakati wa uvunaji wa mazao jamii ya watu wa kata ya salawe hujuuika kwa pamoja na mara nyingi muhusika mwenye mazao huandaa chula kwa ajiri ya shughuli hiyo wakati wa uvunaji wa mazao hayo.

shughili za kibiashara

katika kata ya salawe biashara inayo shika kasi kwa kiasi kikubwa ni biashara ya nyanya ambapo wakazi wengi hujishughulisha na zao hilo kibiashara katika kuwaingizia kipato cha kila siku. Shughuli nyingine ni kama vile biashara za wanyama kama vile ng'ombe kondoo, mbuzi pamoja na ndege kama vile kuku pamoja na biashara nyingine wanazo fanya wanadamu.

shughuli za kijamii

katika shughuli za kijamii kama vile ndoa. Katika ndoa mwanaume hutoa mahari kubwa kama vile ng'ombe ishilini hususani mwanamke anapokuwa na rangi nyeupe au mweupe, mara nyingi ndoa nyingi hifanyika kipindi cha kilimo ambapo watu huweza kuwa na chakula cha kutosha kwa ajiri ya tukio la harusi. Mahari hutorewa mara nyingi na baba wa mtoto anaeoa hususani mtoto wa kiume.Mara nyingi kinapo tokea kitu katika kata hii kama vile msiba watu wote hujumuika kwa pamoja.

Marejeo

Kata za Wilaya ya Shinyanga vjijini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania

Bukene | Didia | Ilola | Imesela | Iselamagazi | Itwangi | Lyabukande | Lyabusalu | Lyamidati | Masengwa | Mwakitolyo | Mwalukwa | Mwamala | Mwantini | Mwenge | Nsalala | Nyamalogo | Nyida | Pandagichiza | Puni | Salawe | Samuye | Solwa | Tinde | Usanda | Usule


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Salawe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.