Kiongozi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==Kiongozi== Kiongozi ni mtu ambaye huchaguliwa na kikundi cha watu.[katika biblia kiongozi ni mtu ambaye huchagulawa na '''MUNGU''' kwa ajili ya kuongoza watu...'
 
Mstari 1: Mstari 1:
==Kiongozi==
==Kiongozi==
Kiongozi ni mtu ambaye huchaguliwa na kikundi cha watu.[katika biblia kiongozi ni mtu ambaye huchagulawa na '''MUNGU''' kwa ajili ya kuongoza watu wake hapa '''Duniani'''] ambapo katika nchi nyingi duniani [[[kiongozi]] hupatikana kwa wananchi kupioga kura ambapo watu mbalimbali wanaohitaji [[uongozi]] hupigiwa kura kwa ajili ya kuwa kiongozi katika [[jamii]] au kikundi cha watu hupatikana. Mara chache sana kiongozi huchaguliwa kwa kuteuliwa na mtu mmoja pasipo kupigiwa kura na pia katika jamii nyingine kiongozi hupatikana kwa '''kurithi''' ambapo [[mrithi]] huwa kiongozi kwa kurithi uongozi kutoka kwa kiongozi alie fariki na kuachia madaraka ya uongozi. mara nyingi kiongozi hupewa heshima ya juu katika [[jamii]], kikundi cha watu au katika[[ familia]] ambapo huheshimiwa na watu wote katika eneo husika analolisimamia kiongozi kwa ajili ya kuwaongoza watu.
Kiongozi ni mtu ambaye huchaguliwa na kikundi cha watu.[katika biblia kiongozi ni mtu ambaye huchagulawa na '''MUNGU''' kwa ajili ya kuongoza watu wake hapa '''Duniani'''] ambapo katika nchi nyingi duniani [[kiongozi]] hupatikana kwa wananchi kupigiwa kura ambapo watu mbalimbali wanaohitaji [[uongozi]] hupigiwa kura kwa ajili ya kuwa kiongozi katika [[jamii]] au kikundi cha watu hupatikana. Mara chache sana kiongozi huchaguliwa kwa kuteuliwa na mtu mmoja pasipo kupigiwa kura na pia katika jamii nyingine kiongozi hupatikana kwa '''kurithi''' ambapo [[mrithi]] huwa kiongozi kwa kurithi uongozi kutoka kwa kiongozi alie fariki na kuachia madaraka ya uongozi. mara nyingi kiongozi hupewa heshima ya juu katika [[jamii]], kikundi cha watu au katika[[ familia]] ambapo huheshimiwa na watu wote katika eneo husika analolisimamia kiongozi kwa ajili ya kuwaongoza watu.

Pitio la 18:31, 19 Oktoba 2015

Kiongozi

Kiongozi ni mtu ambaye huchaguliwa na kikundi cha watu.[katika biblia kiongozi ni mtu ambaye huchagulawa na MUNGU kwa ajili ya kuongoza watu wake hapa Duniani] ambapo katika nchi nyingi duniani kiongozi hupatikana kwa wananchi kupigiwa kura ambapo watu mbalimbali wanaohitaji uongozi hupigiwa kura kwa ajili ya kuwa kiongozi katika jamii au kikundi cha watu hupatikana. Mara chache sana kiongozi huchaguliwa kwa kuteuliwa na mtu mmoja pasipo kupigiwa kura na pia katika jamii nyingine kiongozi hupatikana kwa kurithi ambapo mrithi huwa kiongozi kwa kurithi uongozi kutoka kwa kiongozi alie fariki na kuachia madaraka ya uongozi. mara nyingi kiongozi hupewa heshima ya juu katika jamii, kikundi cha watu au katikafamilia ambapo huheshimiwa na watu wote katika eneo husika analolisimamia kiongozi kwa ajili ya kuwaongoza watu.