Kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho
+picha |
dNo edit summary |
||
Mstari 4: | Mstari 4: | ||
Katika historia zilikuwepo majaribio mbalimbali kukusanya ujuzi wote wa dunia. Mfano bora wa kale ni [[kamusi ya Yongle]] kutoka China iliyotungwa karne ya 14 na wataalamu 2000 na kundikwa kwa mkono katika vitabu 1100. |
Katika historia zilikuwepo majaribio mbalimbali kukusanya ujuzi wote wa dunia. Mfano bora wa kale ni [[kamusi ya Yongle]] kutoka China iliyotungwa karne ya 14 na wataalamu 2000 na kundikwa kwa mkono katika vitabu 1100. |
||
Lakini kamusi elezo au ensiklopedia zilikuwa na athari kubwa sana tangu [[Johannes Gutenberg]] na kupatikana kwa |
Lakini kamusi elezo au ensiklopedia zilikuwa na athari kubwa sana tangu [[Johannes Gutenberg]] na kupatikana kwa [[uchapaji]] wa vitabu ulioshusha kabisa bei ya vitabu kwa watu wengi. |
||
Ensiklopedia ya kwanza ya kisasa iliyokuwa na athira kubwa sana ilikuwa "Encyclopédie ou Dictionnaire raisonné des sciences, des arts et des métiers" |
Ensiklopedia ya kwanza ya kisasa iliyokuwa na athira kubwa sana ilikuwa "Encyclopédie ou Dictionnaire raisonné des sciences, des arts et des métiers" iliyokusanywa na [[Denis Diderot]] pamoja na [[Jean Baptiste le Rond d’Alembert]] pamoja na waandishi zaidi ya 130 katika [[karne ya 18]] katika [[Ufaransa]]. Kamusi elezo hili likawa kati ya vyanzo vya harakati ya [[Zama za Mwangaza]]. |
||
{{mbegu-kitabu}} |
{{mbegu-kitabu}} |
Pitio la 11:29, 17 Oktoba 2015
Kamusi elezo (pia: ensiklopedia) ni kitabu kinachojaribu kukusanya ujuzi wote wa ubinadamu. Siku hizi, Wikipedia ni kamusi elezo kubwa zaidi duniani. Zamani (kabla ya kuja kwa Wikipedia) Encyclopedia Britannica ilikuwa kati ya kamusi elezo kubwa zaidi duniani.
Katika historia zilikuwepo majaribio mbalimbali kukusanya ujuzi wote wa dunia. Mfano bora wa kale ni kamusi ya Yongle kutoka China iliyotungwa karne ya 14 na wataalamu 2000 na kundikwa kwa mkono katika vitabu 1100.
Lakini kamusi elezo au ensiklopedia zilikuwa na athari kubwa sana tangu Johannes Gutenberg na kupatikana kwa uchapaji wa vitabu ulioshusha kabisa bei ya vitabu kwa watu wengi.
Ensiklopedia ya kwanza ya kisasa iliyokuwa na athira kubwa sana ilikuwa "Encyclopédie ou Dictionnaire raisonné des sciences, des arts et des métiers" iliyokusanywa na Denis Diderot pamoja na Jean Baptiste le Rond d’Alembert pamoja na waandishi zaidi ya 130 katika karne ya 18 katika Ufaransa. Kamusi elezo hili likawa kati ya vyanzo vya harakati ya Zama za Mwangaza.
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kamusi elezo kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |