Msitu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9: Mstari 9:


{{mbegu-biolojia}}
{{mbegu-biolojia}}
njia za kufuata katika utunzaji wa misitu
+kupanda miti sehemu iliyo katwa miti
+kupunguza kilimo cha kuhamahama
+uzuia uwindaji wa wanyama kwa kuchoma misitu

hasara za ukataji miti
+inasababisha mmomonyoko wa udongo
+inasababisha ukame
+inasababisha mvua za misimu

Pitio la 13:05, 10 Oktoba 2015

Msitu

Msitu ni mkusanyiko wa uoto asilia unaojumuisha miti ya aina mbalimbali, mimea na manyasi ambayo huweza kuwa fupi au ndefu.

Mara nyingi wanyama mbalimbali wakubwa na wadogo huishi na hutegemea uoto huo kwa kuwatimizia mahitaji yao kwa malazi na chakula.

Hata hivyo maisha ya binadamu hutegemea mazingira yake yanayomzunguka katika kujikimu kwani kupitia misitu mvua hunyesha na hivyo kusababisha ustawi na ongezeko la chakula kwani asilimia kubwa ya watu hutegemea kilimo ili kujipatia mahitaji yao ya kila siku hasa katika nchi za Afrika ambazo ziko nyuma sana katika nyanja ya utumiaji wa teknolojia za kisasa kama utumiaji wa zana za kilimo kama matrekta.

Hivyo katika kutimiza upatikanaji wa chakula kwa wingi ni lazima misitu ilindwe kwa nguvu zote katika ukuaji na ustawi wa jamii.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Msitu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

njia za kufuata katika utunzaji wa misitu +kupanda miti sehemu iliyo katwa miti +kupunguza kilimo cha kuhamahama +uzuia uwindaji wa wanyama kwa kuchoma misitu

hasara za ukataji miti +inasababisha mmomonyoko wa udongo +inasababisha ukame +inasababisha mvua za misimu