Masokwe : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Masahihisho |
|||
Mstari 20: | Mstari 20: | ||
'''Masokwe''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[familia ya juu]] [[Hominoidea]]. Kuna [[familia (biolojia)|familia]] mbili za masokwe: [[Hylobatidae]] ([[sokwe mdogo|masokwe wadogo]] au [[giboni]]) na [[Hominidae]] ([[sokwe mkubwa|masokwe wakubwa]] na [[binadamu]]). Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili kining'inia kutoka tawi moja hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea [[msitu|misitu]] ya [[tropiki]] ya [[Asia]]. Masokwe wakubwa hupitisha muda pengine mrefu ardhini, [[orangutanu]] muda kidogo tu na [[ngagi]] muda mrefu sana. Takriban [[spishi]] zote zinatokea [[Afrika]] lakini orangutanu wanatokea [[Asia]] ya Mashariki. |

||
== |
== Mwainisho == |
||
Familia ya juu [[Sokwe (Hominoidea)| |
Familia ya juu [[Hominoidea]] ([[Sokwe (Hominoidea)|Masokwe]]) |
||
* Familia [[ |
* Familia [[Hylobatidae]] ([[Masokwe wadogo]] au giboni) |
||
** Jenasi ''[[ |
** Jenasi ''[[Hylobates]]'' ([[w:Hylobates|Hylobates]]) |
||
** Jenasi ''[[Hoolock]]'' ([[w:Hoolock gibbon|Hoolock gibbon]]) |
** Jenasi ''[[Hoolock]]'' ([[w:Hoolock gibbon|Hoolock gibbon]]) |
||
** Jenasi ''[[Nomascus]]'' ([[w:Nomascus|Nomascus]]) |
** Jenasi ''[[Nomascus]]'' ([[w:Nomascus|Nomascus]]) |
||
Mstari 29: | Mstari 29: | ||
* Familia [[Hominidae]] (Masokwe wakubwa) |
* Familia [[Hominidae]] (Masokwe wakubwa) |
||
** Nusufamilia [[Ponginae]] ([[w:Ponginae|Ponginae]]) |
** Nusufamilia [[Ponginae]] ([[w:Ponginae|Ponginae]]) |
||
*** Jenasi [[ |
*** Jenasi ''[[Pongo]]'' ([[Orangutanu]]) |
||
** Nusufamilia [[Homininae]] ([[w:Homininae|Homininae]]) |
** Nusufamilia [[Homininae]] ([[w:Homininae|Homininae]]) |
||
*** Kabila [[Gorillini]] |
*** Kabila [[Gorillini]] ([[w:Gorillini|Gorillini]]) |
||
**** Jenasi [[ |
**** Jenasi ''[[Gorilla]]'' ([[Ngagi]] au gorila) |
||
*** Kabila [[Hominini]] ([[w:Hominini|Hominini]]) |
*** Kabila [[Hominini]] ([[w:Hominini|Hominini]]) |
||
**** Jenasi [[ |
**** Jenasi [[Pan]] ([[Sokwe mtu]]) |
||
**** Jenasi ''[[Homo]]'' ([[Binadamu]] na jamaa) |
**** Jenasi ''[[Homo]]'' ([[Binadamu]] na jamaa) |
||
Pitio la 17:14, 9 Oktoba 2015
Sokwe | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Familia 2:
|
Masokwe ni wanyama wa familia ya juu Hominoidea. Kuna familia mbili za masokwe: Hylobatidae (masokwe wadogo au giboni) na Hominidae (masokwe wakubwa na binadamu). Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili kining'inia kutoka tawi moja hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea misitu ya tropiki ya Asia. Masokwe wakubwa hupitisha muda pengine mrefu ardhini, orangutanu muda kidogo tu na ngagi muda mrefu sana. Takriban spishi zote zinatokea Afrika lakini orangutanu wanatokea Asia ya Mashariki.
Mwainisho
Familia ya juu Hominoidea (Masokwe)
- Familia Hylobatidae (Masokwe wadogo au giboni)
- Jenasi Hylobates (Hylobates)
- Jenasi Hoolock (Hoolock gibbon)
- Jenasi Nomascus (Nomascus)
- Jenasi Symphalangus (Siamang)
- Familia Hominidae (Masokwe wakubwa)
Picha
-
Lar gibbon
-
Hoolock gibbon
-
Siamang
-
Golden-cheeked crested gibbon
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.