Tunisia : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
|||
Mstari 49: | Mstari 49: | ||
==Historia== |
==Historia== |
||
{{main|Historia ya Tunisia}} |
|||
Tunisia iliwahi kutawaliwa na [[Wafinikia]] walioanzisha huko [[mji]] wa Karthago. |
Tunisia iliwahi kutawaliwa na [[Wafinikia]] walioanzisha huko [[mji]] wa Karthago. |
||
Pitio la 13:41, 4 Oktoba 2015
Wimbo wa Taifa | Humata l-hima |
Lugha rasmi | Kiarabu1 |
Mji mkuu | Tunis |
Aina ya serikali | Jamhuri |
Rais | Beji Caid Essebsi |
Waziri Mkuu | Habib Essid |
Eneo | km² 163.610 |
Wakazi | 10,982,754 (Julai 2014) |
Wakazi kwa km² | 63 |
Uhuru | 20 Machi 1956 (kutoka Ufaransa) |
Pesa | Dinari ya Tunisia |
Wakati | UTC +1 |
Sikukuu ya Taifa | 7 Novemba |
(1) Lugha ya elimu ni Kifaransa | |
Tunisia (kirefu Jamhuri ya Tunisia - kwa Kiarabu الجمهرية التونسية, al-Jumhūrīya at-Tūnisīya) ni nchi ya Afrika ya Kaskazini inayopakana na Bahari ya Mediteranea, Libya na Algeria.
Mji mkuu ni Tunis (wakazi 728 453) ulioko mahali pa Karthago ya kale.
Historia
Tunisia iliwahi kutawaliwa na Wafinikia walioanzisha huko mji wa Karthago.
Baada ya hao kushindwa na Roma ya Kale, ilikuwa jimbo la "Africa" katika Dola la Roma.
Kisha eneo lake likatawaliwa na Wavandali, Waarabu, Wahispania, Waturuki na Wafaransa.
Tarehe 20 Machi 1956 ilipata uhuru.
Watu
Wakazi karibu wote (98%) wanajiita Waarabu na hutumia lugha ya Kiarabu ambacho ndicho lugha rasmi. Hata hivyo damu yao ni mchanganyiko hasa wa ile ya Waberber, Waarabu na Watutuki.
Takriban watu 200,000, hasa kusini, wanaendelea kuzungumza Kiberber ambacho ni lugha asili ya wenyeji lakini Waberber wengi wamezoea kutumia Kiarabu.
Katika elimu na biashara Kifaransa kinatumika pia sana.
Upande wa dini, Uislamu unafuatwa na asilimia 98 za wakazi, nao ndio dini rasmi.
Viungo vya nje
- Government of Tunisia (official website).
- Tunisia entry at The World Factbook
- Tunisia katika Open Directory Project
- Tunisia profile from BBC News.
- Wikimedia Atlas of Tunisia
Algeria | Italy Mediterranean Sea |
Italy Malta Mediterranean Sea |
||
Algeria | Mediterranean Sea | |||
Tunisia | ||||
Algeria | Algeria Libya | Libya |
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tunisia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |