Ella Fitzgerald : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Msanii muziki 2
{{Msanii muziki 2
| Jina = Ella Fitzgerald
| Jina = Ella Fitzgerald
| Img =
| Img = Ella Fitzgerald (Gottlieb 02871).jpg
| Img_capt =
| Img_capt =
| Img_size =
| Img_size =

Pitio la 07:02, 2 Oktoba 2015

Ella Fitzgerald

Maelezo ya awali
Amezaliwa 28 Machi 1986 (1986-03-28) (umri 38)
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki, DJ[1]
Ala Sauti
Miaka ya kazi –hadi leo


Ella Fitzgerald (25 Aprili 191715 Juni 1996) alifahamika kama muimbaji wa kike wa muziki wa Jazz (Lady of songs). Ella Fitzgerald au mama Ella sauti yake ilikuwa ni muhimu sana kwenye muziki wa Jazz na hata mitindo mingine ya muziki katika karne ya ishirini.

Ella Fitzgerald alizaliwa 25 Aprili 1918 mjini Newport News (Va- Marekani). Ella ameshirikiana na wanamuziki wengi mojawapo ni Louis Armstrong "Satchimo" huyu alikuwa ni mpiga tarumpeta mashuhuri. Mama Ella alizama zaidi katika mtindo wa Swing Jazz.

Kati ya nyimbo alizowahi kuimba ni: That old black magic; Can't we be friends?; Love is the thing so they say; It's a blue wold; Dedicated to you; If you ever should live na Sugar blues. Alifariki mwaka 1996.

  1. Chisling, Matthew (2008-09-08). The Fame – Overview. Allmusic. Macrovision Corporation. Iliwekwa mnamo 2009-02-17.